Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Haaya bana mzee wa kuchokonoaKwahiyo unamaanisha mashinji ni muoga?
Hii dhambi ya ubaguzi sio nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaya bana mzee wa kuchokonoaKwahiyo unamaanisha mashinji ni muoga?
Hii dhambi ya ubaguzi sio nzuri
hatakama ni mia tuambieni ziko wapi zimefanya nini? sijaona hata kisima kimoja wala wamama wakigawiwa cherehaniAcha kuonyesha ujinga wako hadharani! Fedha ya jimbo ni kiasi gani au unaropoka kwa sababu una mdomo?
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
Haya amekula na kugawia familia yake. Umeridhika?hatakama ni mia tuambieni ziko wapi zimefanya nini? sijaona hata kisima kimoja wala wamama wakigawiwa cherehani
haya akalee familia yake ofisi ya umma atuachieHaya amekula na kugawia familia yake. Umeridhika?
Peter Msigwa si bora hata Ester Bulaya bby yake Halim mdPeter msigwa, Heche na Mnyika mmojawapo anafaa
Hata kama hujui kusoma, hata picha huoni?Wewe ndiye unagawa ubunge ama ni wananchi?
Heche is overrated! Alipokuwa kiongozi Bavicha mlikuwa mnaponda style yake ya uongozi. Sijui kafanya nini sasa aonekane anafaa kwa nafasi hii kubwa.nina imani na J.Heche
Mkuu Molemo, kwanza ni lazima Chadema mkubali kwenye mambo ya iteligensia nyingi Chadema ni zero, totally empty kabisa! na amini nakuambia kuna watu ambao mko ndani ya box la inside Chadema hamna uwezo wa kuona outside the box.
Niliwashauri baada ya Heche Bavicha mchukueni Ben Saanane ni jembe kweli, siku ile mnamchagua Petrobras nikawaeleza humu mnamchaguaje mwajiriwa wa Diallo ambaye ni kada wa CCM?.
Wakati mambo yenu ya ndani yana leak humu jf, April 6 2013, nilipandisha bandiko hili
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!. Kufuatia uzoefu wangu binafsi...www.jamiiforums.com
How long did it take kwa nyinyi kukibaini hicho kirusi?.
P
Mkuu Tindo, ukiona mtu anatembea kwenye reli huku umesikia kingora cha treni inakuja, ukamwambia atagongwa, atakufa, na kweli treni ikampitia, ikamgonga, ikamua, jee kitendo cha kuripoti kabla kuwa atakufa na kweli akaja kufa, jee huko ndiko kushabikia kifo cha huyo jamaa?.Uko sahihi kwa mantiki ya kuwa iwapo cdm itakosa wawakilishi kutokana na siasa za kishenzi. Na kwa bahati mbaya paskali ww ni mmoja ya watu mnaoshabikia siasa za kihayawani.
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
Mkuu Tindo, ukiona mtu anatembea kwenye reli huku umesikia kingora cha treni inakuja, ukamwambia atagongwa, atakufa, na kweli treni ikampitia, ikamgonga, ikamua, jee kitendo cha kuripoti kabla kuwa atakufa na kweli akaja kufa, jee huko ndiko kushabikia kifo cha huyo jamaa?.
Chadema sio chama makini and it has never been serious even once!, kilizoea siasa za matukio na siasa za confrontation na majitaka. Alipoingia tuu hili jembe Magufuli, tukawaeleza humu kuwa this is a game changer, the political game has changed, there is no more room for mediocrity, now it's time for real politics.
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
Wanabodi, Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila Mkumbo wa Chuo Kikuu cha DSM. Prof. Kitila ameuita upinzani wa Tanzania ni upinzani uchwala...www.jamiiforums.com
Chadema hamkusikia, Lawrence Masha ndio mtu wa kwanza kuwaaga na akawaandikia kabisa waraka wa matatizo yenu
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono, huwa wanakiambia Chadema makosa yake na kwa nini hakishiki dola, lakini Chadema hakisikii, kinaweka...www.jamiiforums.com
Mlipoanza kukimbiwa na viongozi na wanachama wenu, kuna kitu niliwaeleza humu
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Mliposusia uchaguzi wa serikali za mitaa nikawauliza what did you wish to achieve?
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Kwa vile mlifanyiwa figisu, akina sisi tukajitoa, tukabembeleza tukakubaliwa
Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...www.jamiiforums.com
Licha ya kusamehewa lakini bado mliendelea kuwaka mpira kwapani na matokeo yake
Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Nikatoa somo la matatizo yenu
Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?
Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...www.jamiiforums.com
Ndipo nikawashushia lawama hizi
Na kuwaeleza if you are not going to do the right thing, you're going to die.?Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Sasa Chadema ikifa baada ya kuambulia patupu 2020 unaweza kunilaumu mimi kuwa nashabikia kifo cha kujitakia?.
P
Kama inakuuma chomoaNyalandu na Mashinji Wamehujumiwa na DJ wao.. Chadema Ni chama Cha hovyo Sana kuwahi kutokea.
How comes unasusa uchaguzi na kuwanyima wananchi haki ya kumpata kiongozi wao wanae mpenda kwa kigezo Cha demokrasia mbovu harafu Wewe kwenye uchaguzi wa chama unakuja kutumia demokrasia mbovu zaidi kupata viongozi wa chama.
Lissu kapita kuwa Makamu mwenyekiti bila hata kunadi sera zake.
Mtu anashindana na kivuli chake angali Chama kina wanachama thousands plus.
Mtu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 15 Sasa harafu huyohuyo anasema hataki watu wakae madarakan kwa miaka mingi.
Mtu anasema chama na wanachama wake Ni matajiri angali Chama hakina hata ofisi zake Wala hakina ofisi zinazoeleweka nchini kote zaidi ya mapango ya nyumba tu.
Mtu anasema Taifa halihitaji ndege harafu yeye na kundi lake wanakodi ndege kwenda kuomba maridhiano na jiwe mwanza.
Watu walioipiga Vijembe serikali ya awamu ya nne chini ya jk kuwa inatumia pesa za serikali hovyo kwa kufanyia Mikutano kwenye Kumbi za kukodi.. Leo hii ndo wamegeuka kuwa wateja wazuri kwenye hizo Kumbi.
Kwakweli kwa uhuni huu Na Unafiki huu CCM itaendelea kubaki madarakani kwa Muda mrefu Sana.
Nilikuwa namuona kijana wangu zitto Kama mtu smart anaeweza Leta revolutions katika upinzani naye siku hizi dishi limeyumba Amekuwa mbwambwajaji na Mnafiki. Mara aite wenzake Washamba Mara Awapongeze Yani hata yeye haelewi msimamo wake Ni upi.
Upinzani wa Tanzania safari bado tunayo Sana tunahitaji maamuzi magumu kufanya mabadiliko siyo huu upuuzi wa kuendelea kumtukuza mtu mmoja kwamba ndo anauwezo wa kuongoza Chama kuliko maelfu ya wanachama waliobaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaPascal Mayalla ana tatizo moja kubwa sana , nadhani hata watoto wake wanamvumilia tu , anadhani anafahamu mambo kuliko yoyote mwingine , kwa mujibu wa madaktari jambo kama hilo ni ugonjwa wa akili .
Mnyika ni wa kaskazini acha ulofa,ni mpare yule
Anashabikia siasa za kihutuUko sahihi kwa mantiki ya kuwa iwapo cdm itakosa muwakilishi. Iwapo cdm itaendelea kufanya siasa za kikondoo ilizofundishwa na Lowassa, hiyo 2020 haitakuwa na muwakilishi, ila sio kufa. Hilo la kufa sahau, maana chama kinachotangazwa washindi sio kwa kura za wengi bali ni kupitia madaraka ya rais yanayotumika vibaya. Utakuwa mwendawazimu kuongea kwa bashasha eti cdm will be no more, kisa kitakosa wawakilishi kutokana na siasa za kishenzi. Na kwa bahati mbaya paskali ww ni mmoja ya watu mnaoshabikia siasa za kihayawani.