Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

I don't blame any freaking body though, dude.
A coward is that someone who goes out of their way to blame others on things they themselves can't successfully do!
Good! You are blaming others on thing you yourself you can't do it!!! Ingia barabarani dude!! And your puppet Lissu is coward too he is hiding behind mzungus house while he was insisting that ataingiza watu barabarani sasa yeye ndiyo amekimbia na kujificha kwenye uvungu wa wajerumani. You guys, you are so vuvuzela ever!!
 
CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Kwa akili yako unadhani ni lazima upinzani uwepo .wasiposhinda wataingiaje,na kama wamekataa wenyewe unadhani shughuli za nchi zitawasubiri wao kuwemo bungeni.Subiri wabunge waape ndiyo utajua kwamba hakuna linaloshindikana.Wewe endelea kujipa moyo.
 
Good! You are blaming others on thing you yourself you can't do it!!! Ingia barabarani dude!! And your puppet Lissu is coward too he is hiding behind mzungus house while he was insisting that ataingiza watu barabarani sasa yeye ndiyo amekimbia na kujificha kwenye uvungu wa wajerumani. You guys, you are so vuvuzela ever!!
I think you're right.
 
Attachments

  • 20201107_150129.jpg
    20201107_150129.jpg
    68.5 KB · Views: 1
Nashauri CDM wasisusie viti maalumu, kitu cha kususia ilikua uchaguzi sio viti maalumu.

Kama walikubali kuingia kwenye uchaguzi wkiajiminisha watashinda kwa mazingira haya basi waendelee tu na kuteua viti maalumu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hata Trump leo anatoa hoja za kuibiwa kama chadema. Chadema na Trump akili moja.Trump na pampooooooo wake walikuwa kila kukicha Tanzania, Makonda, kutetea mashoga wa bongo leo kakutana kidume Joe Biden kamgegeda kisawasawa
Nilidhani una akili kumbe Bure mno! Uchaguzi wa USA unaulinganisha na wa bongo? Kisha unashangilia wizi na kujitapa hapa! Isiwe unasaka uteuzi maana hutopata! Anzeni kutubu maana Bidden hanaga kuremba kwenye haki zinazominywa na kunyimwa! Jipangeni kweli na anzeni kutubu!
 
Mdee aache njaa za kipuuzi, hakuna kupeleka viti maalum CHADEMA, CCM wabaki wenyewe wabadili Katiba vizuri na kumpa Urais wa milele Mzee jiwe
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Mkuu, nami nawaza kama wewe! CUF walisusa kwenye ule uchaguzi wa 2015. CCM waalaaaa hawakujali. Hata sasa, kwa CCM walivyo roho ngumu, wanaweza hata "KUMPA" hata Mrema fulsa hiyo, bila kujali kanuni, Bunge likakamilika.

Tunajua CHADEMA walikubalika vipi kwa wapiga kura na tunajua vichwa vya wanawake waliopo huko. Hata watano tu, watawakilisha vizuri. Wakisusa, haitasaidia!

Tukubali, tukatae, CCM na Magufuli ndiyo wazazi wetu. Ila, kuwa watoto wao, MIMBA ILIPATIKANA kwa njia ya ubakaji. Mtoto akishapatikana, hana ujanja wa kumkataa huyo sio mzazi wake. Inachotakiwa sasa, ni kuanzia sasa tupambane kuondoa haya mazingira ya kufanyika huo ubakaji.
 
Maoni yangu CCM wamepanga wabaki wao peke yao Bungeni kwa namna yoyote ile. Basi kutokana na rafu zilizochezwa basi CHADEMA wasipeleke wabunge viti maalum.
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Huzijui taratibu za upatikanaji wa Wabunge wa viti maalum, nyamaza tu hutachekwa! CCM akili zenu mlizisahau mahali Fulani, pakumbukeni mkazichukue!
 
Uchaguzi Umekwisha
Uchaguzi Umekwisha
Uchaguzi Umekwisha
😶🤨😑😏😐
 
Hiyo list iliyotoka ni ya kwao wenyewe ila wamegeukana waliokosa wameamua walimwage hapa live
 
Halima na Mrs Mnyika na Mke wa Lissu wote wako viti maalum.
Sijui Halima anakataa nini
 
CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Uliandamana?
Kaungane na Trump anayedau kaibiwa kura US
 
Hakuna Cha viti maalum waendeleeee na Bunge lao na nchi yao kibabe. Mwisho wao Wananchi wataona wenyewe. Hizi Kama to muhimu za Bunge zinaxotakiwa kuongozwa na upinzani wazifute wakitaka.
 
Back
Top Bottom