Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Kwa hili sitawalaumu CHADEMA hata kidogo.

Tundu Lissu na CHADEMA wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?

Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?

Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita CHADEMA wasaliti wao tuwaite nani?

Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
How about you? Where are you? Still you are coward too hiding behind the keyboard!
 
Naona yule wa Iringa na mmoja kati ya wale wawili wa huko Mara ndio watapitishwa kulinda heshima.
 
How about you? Where are you? Still you are coward too hiding behind the keyboard!
I don't blame any freaking body though, dude.

A coward is that someone who goes out of their way to blame others on things they themselves can't successfully do!
 
Huyu babu mbona analia sana. Hivi hakujua kuwa Waamerica walikuwa hawampendi waziwazi? Na huko Supreme Court ataangukia pua. Bora angekubali yaishe aendelee na biashara zake.

Hivi ndio vigezo ambavyo ana amini ni sababu ya kumshinda biden
 
Ni kawaida ya CHADEMA kususia bunge hivyo hakuna jipya hapo.
 
Back
Top Bottom