Abathmtweve
New Member
- Nov 2, 2020
- 1
- 0
Tauche siasa za kijinga tufanye tu kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakwambia wewe sio kamanda, utapigwa vitaBwana Myika chama chetu sasa hivi kinahitaji mabadiliko makubwa kiuendeshaji, Kiu tawala, na kiorganisation. Hatutaki maneno na usanii. Nyinyi manapata pesa migongoni kwetu sisi tunaishi bila furaha kwa kukubali mapungufu bila kupaza sauti.
Muda wa kukaa kimya umekwisha the Elephant in the room ni mapungufu yetu wenyewe.
1) Tunakwenda kwenye uchaguzi hata picha ya Presidential Candidate hatuna nchi nzima.
2) Hatuna bajeti ya Mawakala nchi nzima, kila mgombea anajifanyia mambo yake anavyo ona yeye mwenyewe inafaa.,
Mambo mengine ya kichama ni vizuri kumalizana ndani kwa ndani. Lakini usijiaminishe kuwa tutaendelea kuunga mkono baadhi ya maamuzi ya kipumbavu ambayo tunaweza tukayabadilisha.
Mapungufu ni mengi mnoo. UNYUMBU LAZIMA UFIKE MWISHO.
Nionyeshe bajeti (budget)ya mawakala ya CCM.Watakwambia wewe sio kamanda, utapigwa vita
Ambapo kwa hiyari yenu mliamua kushiriki tena na kelele nyingi, sijui no hate no fear, mara tuvushe , mbeba maono! Mlivyokuwa mambumbumbu...Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Wazipate wapi wakati mawakala walinyimwa fomu za matokeo na wengine walitolewa wakati wa zoezi la kuhesabu kura?Uuh..Aisee!.
Ila sidhani kama wagombea wote hawana.
Yalipelekwa lini ?mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.
Ambapo kwa hiyari yenu mliamua kushiriki tena na kelele nyingi, sijui no hate no fear, mara tuvushe , mbeba maono! Mlivyokuwa mambumbumbu...
Alitengeneza ushawishi kwa Watanzania pia alishape structure nzuri ya kiongozi from grass rootUnaongea utoto gani dogo? Wakati wa Dr. Slaa cdm ikiwa hai mbona haikuchukua hiyo nchi?
Kama watakaopewa huo ubunge watakuwa ni wana-CCM waliomo ndani ya CDM, watakataaje matakwa ya dikteta boss wao?Basi sawa...... kwakuwa mnyika kasema
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.
Na kwakuwa hiki chama kimekua kikituhakikishia kwamba ni chama cha demokrasia na maendeleo nchini, na kwamba ni chama chenye misingi bora ya haki na demokrasia, na kwakuwa wamekua wakitulazimisha kuamini kuwa wananchi walio wengi wana imani na chama chao na kwa viongozi wao; ..............basi nategemea kuona hata hiyo orodha iliyoghushiwa itakapotolewa kukataliwa sio na viongozi pekee bali hata na hao ambao majina yao yatakua kwenye hiyo orodha.
Vinginevyo watanzania tutagonga mhuri kwamba chadema ni chama pekee cha viongozi madikteta Tanzania
Andikeni barua rasmi kwa NEC na Bunge kudhibitisha haya!!! Msiongee tu!! Ambatanisha na ushahidi.Tukiwarushiwa ndizi na wazungu ni halali yetu.
Walifanya maamuzi ya kijinga kupora uchaguzi sasa wanaanza kuteseka.
Wabaki wenyewe kwenye hilo Bunge lao la chama kimoja(Bunge la Ma-CCM) lifanye kazi ya kusifu,kutukuza na kupongeza.
Ni maamuzi yenu na chama chenu, lakini tuliwashauri na tunawashauri mpeleke vichwa vyenu kwaajili ya chama chenu.1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Bwana Myika chama chetu sasa hivi kinahitaji mabadiliko makubwa kiuendeshaji, Kiu tawala, na kiorganisation. Hatutaki maneno na usanii. Nyinyi manapata pesa migongoni kwetu sisi tunaishi bila furaha kwa kukubali mapungufu bila kupaza sauti.
Muda wa kukaa kimya umekwisha the Elephant in the room ni mapungufu yetu wenyewe.
1) Tunakwenda kwenye uchaguzi hata picha ya Presidential Candidate hatuna nchi nzima.
2) Hatuna bajeti ya Mawakala nchi nzima, kila mgombea anajifanyia mambo yake anavyo ona yeye mwenyewe inafaa.,
Mambo mengine ya kichama ni vizuri kumalizana ndani kwa ndani. Lakini usijiaminishe kuwa tutaendelea kuunga mkono baadhi ya maamuzi ya kipumbavu ambayo tunaweza tukayabadilisha.
Mapungufu ni mengi mnoo. UNYUMBU LAZIMA UFIKE MWISHO.
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Andikeni barua rasmi kwa NEC na Bunge kudhibitisha haya!!! Msiongee tu!! Ambatanisha na ushahidi.
Soma hoja vyema na uielewe Kisha unaporeply majibu au mchango wako uendane na hoja iliyopo!CHADEMA ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Waweza kumlinganisha na Bashiru wenu? Leo hafai kwa kuwa maiumbua tume na mchakato wake wa kufoji? Ccm na nec yenu mnazidi kutia aibu!Chadema ilipotea baada ya kumpa Mnyika ukatibu Mkuu huyu ni hopeless sasa CDM inajifia kifo cha mende
Lazima ulileta vurugu kweli😀 si unaona hata maandamano uliambiwa uache ukakaidi🤨Nilikuwa Wakala ilopofika saa 9 na nusu nilitolewa nikaambiwa naleta vurugu,na siku ya maandamano niliandamana
Hadi saivi na kesi ya kujibu mahakaman
sio wana ccm walio chademaKama watakaopewa huo ubunge watakuwa ni wana-CCM waliomo ndani ya CDM, watakataaje matakwa ya dikteta boss wao?
Sent using Jamii Forums mobile app