NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
mnajazwaga ujinga na viongozi wenu kwenye mitandao.wewe kweli huna akili pumbavu .
mngekuwa mnatakiwa bungeni kiasi icho mpaka kufikia kufoji saini,basi kwanza wasingewakamata viongozi wenu wa chama.
mngeitwa ikulu na Rais mkaongea kisiasa na yakaisha.
mazwazwa mnazugwa na viongozi wenu kwasababu akili zenu ni fupi.