Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Iloilo mnalolilia nyinyi kutokuwemo.

Umeuona kwenye comments zetu halafu tukibembeleza kuwepo huko bungeni? Kwenye hilo bunge kibogoyo cdm huenda kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mbeleko. Hii ndio sababu wakiwa humo hawana muda wa kumfagilia Yesu wa ccm. Hapa hatulili kwenda bungeni kwa hisani ya yesu kama walivyo wanaccm, bali tunataka maamuzi ya wananchi ya heshimiwe na sio kuchezewa na wahuni wa tume ya ubaguzi na vyombo vya dola.
 
Subiri ujinga wa chadema watakapo teua viti maalum kuunga mkono uchaguzi maana watatumia kura walizopata kwenye sanduku la kura kuteua wabunge.

Hata wakiteua hatuwezi kuwaunga mkono kwa hilo, maana ni kuhalalisha huu uhuni wa kipuuzi.
 
Mtaandika mengi ila ukweli ni kwamba Chadema iko kwenye mioyo ya watu, pandeni chuki na hasira wakati ukifika mtavuna uharibifu.
 
Nipe orodha mnayodai imegushiwa

Halafu matokeo ya uchaguzi unayosema yalighushiwa kwanini hakuna wakala aliyepeleka nyaraka NEC kupinga matokeo ya udiwani na ubunge?

Kumbuka nilikushauri sana ukawe wakala ili kushuhudia chama chako kinavyoshindwa kihalali ukagoma😁😁😁
Nilikuwa Wakala ilopofika saa 9 na nusu nilitolewa nikaambiwa naleta vurugu,na siku ya maandamano niliandamana

Hadi saivi na kesi ya kujibu mahakaman
 
Kinacho wafanya mgushi sahihi za wana Chadema kwenda bungeni ni nini wakati mkakati wa miaka mitano ulikua kuua upinzani.
Natumaini unataarifa za shinikizo kutoka baadhi ya wajumbe wa BAWACHA wenye sauti kubwa kutaka waruhusiwe kupewa hizo nafasi, na bado kuna yule mwingine wa Nkasi ambaye amegoma kuachia jimbo. Katika kipindi CHADEMA wanapitia majaribio makubwa ni kipindi hiki, wakikosa msimamo watapoteza kabisa hata imani ndogo wananchi waliyo kuwa nayo na hapo ndio wafitini wao wanapopangojea kwa hamu. Wanawagawa ili wawashinde.
 
Vyote hivyo chanzo chake ni matokeo ya uchaguzi Mkuu, kama hutambui matokeo maana yake ukatae na vitokanavyo na matokeo yale
Hayo ni maoni yako. Sheria husika haisemi hivyo. Chadema hawajasema kutotambua kura, bali wanadai kura zilizotangazwa na NEC au ZEC hazihakisi kura halisi (nyingi zaidi) walizopigiwa na wananchi. Kuna ushahidi kadhaa wa kimazingira. Usipende kuhukumu.
 
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Viongozi wa CHADEMA wanaleta ubimafsi kama ule wa Mrema mwaka 1995 alipokusa urais akataka wale viongozi waliopata ubunge waachie nyadhifa zao za uongozi ndani ya chama cha NCCR, hatua hiyo ilipelekea mgogoro mkubwa uliosambaratisha chama chao.

Hao wabunge wa viti maalum lazima waende bungeni wasikubali ujinga na ubinafsi wa viongozi ikibidi bunge litunge sheria kuwalinda.

Kwanza CHADEMA sera yao ya kisirisiri iliyohaririwa na BAWACHA ni kuwakandamiza wanaume na kuwapendelea wanawake ndio maana waliweka katika ilani yao kipengele cha kuwafunga jela wanaume waliooa kwa madai ya kubaka wake zao.
 
Hata wakiteua hatuwezi kuwaunga mkono kwa hilo, maana ni kuhalalisha huu uhuni wa kipuuzi.
mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.
 
Sioni sababu ya Chadema kususia Viti Maalum..... Wachague majembe yaende yakapambane Bungeni.

CUF walisusia Uchaguzi Zanzibar nini kilibadilika???

Chadema walisusia Serikali za Mitaa, nini kimefanyika???

Wawape watu ajira, Wapunguze Jobless mtaani.
 
Kwani hzo nafasi hawawezi kurudi akina mdee.chagueni wale vichwa ngumu warudi bungeni fisi ukimsusia bucha atakuachia mzani na kisu
 
Umeuona kwenye comments zetu halafu tukibembeleza kuwepo huko bungeni? Kwenye hilo bunge kibogoyo cdm huenda kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mbeleko. Hii ndio sababu wakiwa humo hawana muda wa kumfagilia Yesu wa ccm. Hapa hatulili kwenda bungeni kwa hisani ya yesu kama walivyo wanaccm, bali tunataka maamuzi ya wananchi ya heshimiwe na sio kuchezewa na wahuni wa tume ya ubaguzi na vyombo vya dola.
Sasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?
wananchi atuitaki Chadema sio bungeni tu hata mitaani.
 
Sasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?
wananchi atuitaki Chadema sio bungeni tu hata mitaani.
Ukapimwe akili, toka lini umeikubari Chadema? Ushindi wa Ccm ni wizi kuua na kutumia mabavu angalia chini apo wewe pimbi
IMG_20201104_113758.jpg
 
Ukapimwe akili, toka lini umeikubari Chadema? Ushindi wa Ccm ni wizi kuua na kutumia mabavu angalia chini apo wewe pimbi View attachment 1622103
Mi huwa sishuulishwi na uzushi na propaganda zenu,kweli nyinyi Chadema mlivyonafujo,inawezekana vipi mumkute mtu na kura feki alafu msimuamishe sura ikakaa upande?

Ajua mlipozipata,kuna lengo lenu mlikuwa nalo ila mkafeli.mkabaki kupost mapichapicha ya kura fake.
 
mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.

Acha kurudi bungeni, wakahamie kabisa huko huko bungeni, lakini sisi wafuasi wengi wa cdm hatukuridhika na uchaguzi huu wa kishenzi. Na hatuungi mkono wabunge wa cdm kwenda kushiriki kwenye bunge lilipotakina kwa umwagaji wa damu, ukatili, unyama na uhayawani wa wazi.
 
Sasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?
wananchi atuitaki Chadema sio bungeni tu hata mitaani.

2/3 ya watanzania hawakushiriki kwenye upuuzi uitwao uchaguzi. Na hiyo 1/3 bado yote hawakuipa kura ccm, sasa unaposema watanzania sijui unamaanisha nini kwa uchaguzi uliokuwa wa kishenzi namna ile.
 
Tamko rasmi kuhusu kuteua wabunge wa vitu maalumu, ni mpaka kamati kuu ikae, na pia hawawezi kutoa press release kwa taarifa zisizo rasimi kuhusu njama hizi za NEC labda mpaka hiyo orodha feki itoke ndio wanaweza kutoa press release kukanusha.
Basi wangekaa kimya wanajiendesha kienyeji sana kila kitu twitter wajifunze utaasisi kwa CCM, itafika mda wanatoa tamko watu wanapuuza mana bawajui ni official or not
 
Back
Top Bottom