Good! You are blaming others on thing you yourself you can't do it!!! Ingia barabarani dude!! And your puppet Lissu is coward too he is hiding behind mzungus house while he was insisting that ataingiza watu barabarani sasa yeye ndiyo amekimbia na kujificha kwenye uvungu wa wajerumani. You guys, you are so vuvuzela ever!!I don't blame any freaking body though, dude.
A coward is that someone who goes out of their way to blame others on things they themselves can't successfully do!
Kwa akili yako unadhani ni lazima upinzani uwepo .wasiposhinda wataingiaje,na kama wamekataa wenyewe unadhani shughuli za nchi zitawasubiri wao kuwemo bungeni.Subiri wabunge waape ndiyo utajua kwamba hakuna linaloshindikana.Wewe endelea kujipa moyo.CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
I think you're right.Good! You are blaming others on thing you yourself you can't do it!!! Ingia barabarani dude!! And your puppet Lissu is coward too he is hiding behind mzungus house while he was insisting that ataingiza watu barabarani sasa yeye ndiyo amekimbia na kujificha kwenye uvungu wa wajerumani. You guys, you are so vuvuzela ever!!
Haha haha, Mkuu umeuaView attachment 1622251
Hivi ndio vigezo ambavyo ana amini ni sababu ya kumshinda biden
Nilidhani una akili kumbe Bure mno! Uchaguzi wa USA unaulinganisha na wa bongo? Kisha unashangilia wizi na kujitapa hapa! Isiwe unasaka uteuzi maana hutopata! Anzeni kutubu maana Bidden hanaga kuremba kwenye haki zinazominywa na kunyimwa! Jipangeni kweli na anzeni kutubu!Hata Trump leo anatoa hoja za kuibiwa kama chadema. Chadema na Trump akili moja.Trump na pampooooooo wake walikuwa kila kukicha Tanzania, Makonda, kutetea mashoga wa bongo leo kakutana kidume Joe Biden kamgegeda kisawasawa
Mkuu, nami nawaza kama wewe! CUF walisusa kwenye ule uchaguzi wa 2015. CCM waalaaaa hawakujali. Hata sasa, kwa CCM walivyo roho ngumu, wanaweza hata "KUMPA" hata Mrema fulsa hiyo, bila kujali kanuni, Bunge likakamilika.Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Ni kweli; ndiye aliyekuwa chanzo cha ajenda kuu za CHADEMA kwenye uchaguzi uliokwisha.Kigogo kachangia kuimaliza Chadema,
Jeraha lake alitakaa lifutike kitaifa na kimataifa mpk waliohujumu pamoja na wewe mnaingia kaburini, mjinga wewe.Hata Maalim seif aliwahi kususa lakini Zanzibar ilisonga mbele, acheni ubabaishaji
Huzijui taratibu za upatikanaji wa Wabunge wa viti maalum, nyamaza tu hutachekwa! CCM akili zenu mlizisahau mahali Fulani, pakumbukeni mkazichukue!Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Uliandamana?CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!