Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Endeleeni na hilo Bunge lenuCDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge
Hichi chama kina ubinafsi sana
Malalamiko FC ni shida!
Tamko rasmi sio tweet1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Wazungu waendelee tu kuturushia ndizi.Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Siwashauri cdm kutoa viti maalum kushiriki huo upuuzi. Yule dada aliyeshinda aachwe aende bungeni ili asilete uchuro, kwani inaonekana anataka kutumika in a negative way na chama cha wakora a.k.a ccm.
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge
Hichi chama kina ubinafsi sana
Tamko rasmi kuhusu kuteua wabunge wa vitu maalumu, ni mpaka kamati kuu ikae, na pia hawawezi kutoa press release kwa taarifa zisizo rasimi kuhusu njama hizi za NEC labda mpaka hiyo orodha feki itoke ndio wanaweza kutoa press release kukanusha.Watoa
Tamko rasmi sio tweet
Sio sahihi na pia mimi binafsi sina uhakika wa kwamba wamefoji nimesikiasikia tuu ndio maana nikasema.. na hata hicho kilichofojiwa sijakionaaaa.Ndio maana nimesemaKwa nini sahihi wafoji?. Unajua adhabu ya kugushi sahihi?.
Viti maalum mtavipataje wakati hamjapata 5% ya wabunge wa TZ au mimi sielewi wabunge wa viti maalum wanapatikanaje!!Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Siwashauri cdm kutoa viti maalum kushiriki huo upuuzi. Yule dada aliyeshinda aachwe aende bungeni ili asilete uchuro, kwani inaonekana anataka kutumika in a negative way na chama cha wakora a.k.a ccm.
Kina mnyika ,mbowe n lissu wanafnya hivyo kwakuwa wao wanajua hizo nafas haziwahusu ,,1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Yaani orodha igushiwe, halafu viongozi waseme hawajaiandaa itakuwa na uhalali gani?. Kama viongozi hawajaiandaa it means hakuna haja yakupeleka viti maalumu inatakiwa CDM ife ili tupate maendeleo, maana wao ndio wakwamisha maendelo kulingana na Wana ccm wanavyodai. Kwahio kama viongozi wakikataa hawajapeleka majina NEC, hapatakuwa nahaja yakupeleka viti maalum wa CDM . Wapeni hivyo viti URA,TADEA,CUF,NCCR ,UPDP,UDP,TLP.Sio sahihi na pia mimi binafsi sina uhakika wa kwamba wamefoji nimesikiasikia tuu ndio maana nikasema.. na hata hicho kilichofojiwa sijakionaaaa
Ndio maana nimesema
Na kwakuwa hiki chama kimekua kikituhakikishia kwamba ni chama cha demokrasia na maendeleo nchini, na kwamba ni chama chenye misingi bora ya haki na demokrasia, na kwakuwa wamekua wakitulazimisha kuamini kuwa wananchi walio wengi wana imani na chama chao na kwa viongozi wao; ..............basi nategemea kuona hata hiyo orodha iliyoghushiwa itakapotolewa kukataliwa sio na viongozi pekee bali hata na hao ambao majina yao yatakua kwenye hiyo orodha.
Vinginevyo watanzania tutagonga mhuri kwamba chadema ni chama pekee cha viongozi madikteta Tanzania
Mkuu CDM wanachelewesha maendeleo wasipopeleka majina, haina haja ya NEC kufoji sahihi. Mtu wakwanza kuingia bungeni kwa njia ya viti maalum ni Halima Mdee kulingana na sheria za CDM . Sasa mnataka Mdee arudi bungeni tena?.Kina mnyika ,mbowe n lissu wanafnya hivyo kwakuwa wao wanajua hizo nafas haziwahusu ,,
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Sasa iko wapi hiyo orodha iliyoghushiwa na NEC? CHADEMA ni kiwanda cha uongoYaani orodho igushiwe, halafu viongozi waseme hawajaiandaa itakuwa na uhalali gani?. Kama viongozi hawajaiandaa it's means hakuna haja yakupeleka viti maalumu inatakiwa CDM ife ili tupate maendeleo, maana wao ndio wakwamisha maendelo kulingana na Wana ccm wanavyodai. Kwahio kama viongozi wakikataa hawajapeleka majina NEC, hapatakuwa nahaja yakupeleka viti maalum wa CDM . Wapeni hivyo viti URA,TADEA,CUF,NCCR ,UPDP,UDP,TLP.
Kama mlighushi kura za urais, mnashindwa kughushi sahihi za viongozi?. Kama mtu alijitangaza kuhama CDM na kujivua uanachama,lakini spika wa CCM akasema bado ni mbunge unashangaa kughushi saini. CCM ni laana ndani ya nchi yetu.Sasa iko wapi hiyo orodha iliyoghushiwa na NEC? Chadema ni kiwanda cha uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SPIKA : Wabunge Mmeshiba?!
WABUNGE : Ndioooooooo!!!
SPIKA : Wabunge mna njaa?!
WABUNGE : Ndiooooooooo!!!