Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Siwashauri cdm kutoa viti maalum kushiriki huo upuuzi. Yule dada aliyeshinda aachwe aende bungeni ili asilete uchuro, kwani inaonekana anataka kutumika in a negative way na chama cha wakora a.k.a ccm.
Wazungu waendelee tu kuturushia ndizi.
 
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903

Basi sawa...... kwakuwa mnyika kasema

1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.

Na kwakuwa hiki chama kimekua kikituhakikishia kwamba ni chama cha demokrasia na maendeleo nchini, na kwamba ni chama chenye misingi bora ya haki na demokrasia, na kwakuwa wamekua wakitulazimisha kuamini kuwa wananchi walio wengi wana imani na chama chao na kwa viongozi wao; ..............basi nategemea kuona hata hiyo orodha iliyoghushiwa itakapotolewa kukataliwa sio na viongozi pekee bali hata na hao ambao majina yao yatakua kwenye hiyo orodha.

Vinginevyo watanzania tutagonga mhuri kwamba chadema ni chama pekee cha viongozi madikteta Tanzania
 
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge

Hichi chama kina ubinafsi sana

Tunawasaidia tu kazi, maana mliwapora kura, acha na hao viti maalum wasiende ili mpate nafasi zaidi. Wapeni hivyo viti wabunge wa NCCR, CUF, TLP nk, maana wao ndio hawana watu, lakini wanawalamba miguu CCM. CDM msiende kwenye hilo bunge la CCM.
 
Watoa

Tamko rasmi sio tweet
Tamko rasmi kuhusu kuteua wabunge wa vitu maalumu, ni mpaka kamati kuu ikae, na pia hawawezi kutoa press release kwa taarifa zisizo rasimi kuhusu njama hizi za NEC labda mpaka hiyo orodha feki itoke ndio wanaweza kutoa press release kukanusha.
 
CHADEMA ni pasua kichwa, hawaeleweki na vigeugeu. Mtu umshutumu kwa kukuibia kura, halafu arudi akulazimishe uwe na Wabunge ?
 
Kwa nini sahihi wafoji?. Unajua adhabu ya kugushi sahihi?.
Sio sahihi na pia mimi binafsi sina uhakika wa kwamba wamefoji nimesikiasikia tuu ndio maana nikasema.. na hata hicho kilichofojiwa sijakionaaaa.Ndio maana nimesema
Na kwakuwa hiki chama kimekua kikituhakikishia kwamba ni chama cha demokrasia na maendeleo nchini, na kwamba ni chama chenye misingi bora ya haki na demokrasia, na kwakuwa wamekua wakitulazimisha kuamini kuwa wananchi walio wengi wana imani na chama chao na kwa viongozi wao; basie nategemea kuona hata hiyo orodha iliyoghushiwa itakapotolewa kukataliwa sio na viongozi pekee bali hata na hao ambao majina yao yatakua kwenye hiyo orodha.

Vinginevyo watanzania tutagonga mhuri kwamba CHADEMA ni chama pekee cha viongozi madikteta Tanzania
 
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Siwashauri cdm kutoa viti maalum kushiriki huo upuuzi. Yule dada aliyeshinda aachwe aende bungeni ili asilete uchuro, kwani inaonekana anataka kutumika in a negative way na chama cha wakora a.k.a ccm.
Viti maalum mtavipataje wakati hamjapata 5% ya wabunge wa TZ au mimi sielewi wabunge wa viti maalum wanapatikanaje!!
 
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903
Kina mnyika ,mbowe n lissu wanafnya hivyo kwakuwa wao wanajua hizo nafas haziwahusu ,,
 
Sio sahihi na pia mimi binafsi sina uhakika wa kwamba wamefoji nimesikiasikia tuu ndio maana nikasema.. na hata hicho kilichofojiwa sijakionaaaa
Ndio maana nimesema
Na kwakuwa hiki chama kimekua kikituhakikishia kwamba ni chama cha demokrasia na maendeleo nchini, na kwamba ni chama chenye misingi bora ya haki na demokrasia, na kwakuwa wamekua wakitulazimisha kuamini kuwa wananchi walio wengi wana imani na chama chao na kwa viongozi wao; ..............basi nategemea kuona hata hiyo orodha iliyoghushiwa itakapotolewa kukataliwa sio na viongozi pekee bali hata na hao ambao majina yao yatakua kwenye hiyo orodha.

Vinginevyo watanzania tutagonga mhuri kwamba chadema ni chama pekee cha viongozi madikteta Tanzania
Yaani orodha igushiwe, halafu viongozi waseme hawajaiandaa itakuwa na uhalali gani?. Kama viongozi hawajaiandaa it means hakuna haja yakupeleka viti maalumu inatakiwa CDM ife ili tupate maendeleo, maana wao ndio wakwamisha maendelo kulingana na Wana ccm wanavyodai. Kwahio kama viongozi wakikataa hawajapeleka majina NEC, hapatakuwa nahaja yakupeleka viti maalum wa CDM . Wapeni hivyo viti URA,TADEA,CUF,NCCR ,UPDP,UDP,TLP.
 
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.

By JJ MANYIKAView attachment 1621903

Bwana Mnyika chama chetu sasa hivi kinahitaji mabadiliko makubwa kiuendeshaji, Kiu tawala, na ki-organisation. Hatutaki maneno na usanii. Nyinyi manapata pesa migongoni kwetu sisi tunaishi bila furaha kwa kukubali mapungufu bila kupaza sauti.

Muda wa kukaa kimya umekwisha the Elephant in the room ni mapungufu yetu wenyewe.
1) Tunakwenda kwenye uchaguzi hata picha ya Presidential Candidate hatuna nchi nzima.
2) Hatuna bajeti ya Mawakala nchi nzima, kila mgombea anajifanyia mambo yake anavyo ona yeye mwenyewe inafaa.,

Mambo mengine ya kichama ni vizuri kumalizana ndani kwa ndani. Lakini usijiaminishe kuwa tutaendelea kuunga mkono baadhi ya maamuzi ya kipumbavu ambayo tunaweza tukayabadilisha.

Mapungufu ni mengi mnoo.Unyumbu lazima Ufike mwisho.
 
Yaani orodho igushiwe, halafu viongozi waseme hawajaiandaa itakuwa na uhalali gani?. Kama viongozi hawajaiandaa it's means hakuna haja yakupeleka viti maalumu inatakiwa CDM ife ili tupate maendeleo, maana wao ndio wakwamisha maendelo kulingana na Wana ccm wanavyodai. Kwahio kama viongozi wakikataa hawajapeleka majina NEC, hapatakuwa nahaja yakupeleka viti maalum wa CDM . Wapeni hivyo viti URA,TADEA,CUF,NCCR ,UPDP,UDP,TLP.
Sasa iko wapi hiyo orodha iliyoghushiwa na NEC? CHADEMA ni kiwanda cha uongo
 
Sasa iko wapi hiyo orodha iliyoghushiwa na NEC? Chadema ni kiwanda cha uongo
Kama mlighushi kura za urais, mnashindwa kughushi sahihi za viongozi?. Kama mtu alijitangaza kuhama CDM na kujivua uanachama,lakini spika wa CCM akasema bado ni mbunge unashangaa kughushi saini. CCM ni laana ndani ya nchi yetu.
 
CHADEMA imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa kuwa kikundi cha wasanii, madalali na vibaraka

Ukiangalia sana walichokifanya kwenye uchaguzi huu utaona kabisa kwamba Walijua hawawezi kushinda uchaguzi ndio maana hawakutaka kutumia pesa nyingi kwenye kampeni wala kwa mawakala; ila walijipanga kuleta vurugu kwa kujitangazia ushindi kwa Ile utaratibu wao ambao nao ulishindikana... au kuingiza watu barabarani ili wapate msaada wa wale mabwana ambacho nacho kimeshindikana
 
Back
Top Bottom