Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Nimependa hiki ulichoandika hapa, sana. Kama viongozi walituambia tuingie barabarani tukagoma, leo wakiamua kuchukua uamuzi mwingine tunataka tena kuwalaumu kwanini? hapa kila mmoja popote alipo ajitazame nafsi yake, ajiulize kwenye haya mapambano yeye alitoa mchango gani? wengi tunapenda sana kupiga kwenye mitandao, but when it comes to action, nothing.
Kama viongozi waliwaambia muingie barabarani mkagoma, ina maana viongozi hao siyo viongozi tena, maana hawana wa wafuasi (kuwaongoza). Utakuwaje kiongozi bila wafuasi?
 
Nilikuwa Zanzibar,yaliyotendwa huko,yamenikumbusha 1994,wakati watusi na wahutu wanachinjana.
Ebu fikiria wanajeshi wanapita wamejaa kwenye makarandinga,wamefunika nyuso,yanaonekana macho tu,wamebeba marungu,
Kuna vijana walipewa mafunzo,huko Zenj wanaitwa mazombi,wakikukamata,Bora ukutane na Alshaababy watakupa muda wa kuongea,hao mazombi ni kipigo tu,
Vipi walikupiga na wewe? Pole sana!
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Mkuu umeongea ukweli mchungu Sana , tatizo mzigo wanaangushiwa hao viongozi , they can't handle such things alone , washangiliaji wa humu wote wamemute , Kila mtu anasema CHADEMA wafanye hv , mwingine anasema wafanye vile , swali linakuja who is CHADEMA ?? Au ndo kikundi cha watu wachache akina Mbowe, M , Lissu n.k hawa watu believe me hawawez fanya chochote bila mass support kitu ambacho Kwa Tz ni ndoto za kufikirika , nchi imejaa keyboard warrior.

.. nayeweza kumpa credit mpak sasa ni Lissu huyu jamaa amefight to the maximum....ila support ni poor
 
Hu moto wa kipindi hiki sijui utazimwa na nani Kama sio mungu mwenye ardhi yake ila taifa hili Lina watu wabishi saba hacha mungu akafanye mahamuzi no way,
 
Bongo tupo millioni 55+, watumishi wa umma ni Kama 500K, wanaofanya maamuzi nchi iende wapi, wanaotunga sera,wanaoweka vipaumbele, ijengwe zahanati au inunuliwe Ndege, ni Kama watu 1000

Sasa kwenye demokrasia,sie wananchi wa kawaida,cinabidi tuwe na uwezo wa kuwachagua, maana sie kwa Kodi zetu, ndio tunawalipa mishahara,sasa kwenye uchaguzi uliopita, hatukupewa nafasi.

Sasa hapo uhuru upo wapi, Kama unakula ugari kwa kuku,unaona mambo safi,kwa nini isiwe ule ugari na kuku, nje imepaki Vogue,na unaweza kuwalipia ada hata watoto wa ndugu zako?

Nani anasema hapo ulipo, ndio unastahili kuwepo?

Wakati huo huo,unajua maana ya kupigwa risasi 18,Tena mchana kweupeee.
Acha kutafuta huruma. TZ ina watu zaidi ya millioni 50, watu wa fani mbalimbali na wasomi (BA/BSc, MA/MSc, Ph.D.) CPA, etc maelfu. Hatuwezi kukaa na kumtegemea mtu mmoja au wawili. Wewe lia na kusaga meno, wapo wajenga nchi wengine. Saana saana wewe unatetea tumbo lako, ili wakifanikiwa ujitokeza kuwadanganya jinsi ulivyokuwa unawatetea huku JF. Lakini wanaJF hawafiki 0.00005% ya Watanzania. Laki kila ikandikwa humu mtafikiri haya yanasomwa na Watanzania millioni moja!
 
Hata mkiteua mimi sitawalaumu bana. Mmejitahidi kadri ya uwezo na chama lazima kiendelee kuimarishwa kwa namna moja ama nyingine.

Hao mnaowapigania mmewahamasisha kuandamana lakini karibia wote wameuchuna. Viongozi wa chama wanakamatwa na kutishiwa hovyo but hakuna any mass revolt.

Viongozi wa upinzani wanahitaji watu nyuma yao katika kila jambo ikiwemo pale maisha yao yanapokuwa hatarini. Kwa wingi ule ule wa mamilioni waliojitokeza kwenye campaign rallies walishindwaje kujitokeza kuandamana?
Kwani kutafuta haki, ni njia moja hutumika,zipo njia 47 na zaidi, Cha msingi tunachomokaje hapa
Jibu
Kwa maombi, na watu kutoshupaza shingo
Mwisho
Tz mti mlefu kuliko yote upo mkoa gani na sehem gani ,Kama wajua jibu tafadhali na sio utani mkuu
 
Chadema kina umri wa miaka 28 tangu kiasisiwe na miaka 25 tangu wabunge wake wa kwanza waingie bungeni akina rip Ndesamburo, rip Kaborou, Dr Slaa nk.

Swala la kutotambua matokeo ya uchaguzi linaendana na chama kupoteza haki yake ya kupata ruzuku na zawadi ya viti maalumu vya wabunge wanawake kwa mujibu wa katiba na sheria.

Chadema wananchi tunataka kujua msimamo wenu ni upi?

Je, mmesamehe ruzuku?

Maendeleo hayana vyama!
 
Umeambiwa ni fake news boss duh
Nitakubali ni fake news, nikiona barua ya CHADEMA ikikanusha. Hiyo ya fake news umeanzisha wewe kwa kuficha aibu kwa hayo waliyoyafanya.
 
Kilichonishangaza ni CCM kuteseka kwenye hili. Mmeshinda uchaguzi hata viti maalumu wekeni CCM wote.
 
CCM mkimalizana na chadema mtatufuata hata sisi tusio na vyama! vitu maalum chadema mnawalilia kwa minajiri ipi ilhali dhamira ilikuwa ni kuifuta chadema bungeni?
 
Chadema kina umri wa miaka 28 tangu kiasisiwe na miaka 25 tangu wabunge wake wa kwanza waingie bungeni akina rip Ndesamburo, rip Kaborou, Dr Slaa nk.

Swala la kutotambua matokeo ya uchaguzi linaendana na chama kupoteza haki yake ya kupata ruzuku na zawadi ya viti maalumu vya wabunge wanawake kwa mujibu wa katiba na sheria.

Chadema wananchi tunataka kujua msimamo wenu ni upi?

Je, mmesamehe ruzuku?

Maendeleo hayana vyama!
Chadema inataka bunge la kijani
 
Kama viongozi waliwaambia muingie barabarani mkagoma, ina maana viongozi hao siyo viongozi tena, maana hawana wa wafuasi (kuwaongoza). Utakuwaje kiongozi bila wafuasi?
Unaendeleza tabia ya kukwepa responsibility.

Kama nyie sio wafuasi wao tena kwanini mnawapigia kelele kwa maamuzi yao?
 
Nazijua Sana but kama chadema hawataki then simple tu Rais Ana wabunge kumi wa kuwateua

So akiamua katika Hao kumi anachuku saba upinzani
Hao atakaowateua watakwendaje bungeni bila ridhaa ya vyama vyao? Au hili la vyama husika kuridhia hukulifikiria? Ni haiwezekani Rais kufanya hiyo blunder!
CCM na NEC wanaaibika Sasa kwa ulafi na unafiki wao wa kumfurahisha mtu mmoja!
 
Chadema kina umri wa miaka 28 tangu kiasisiwe na miaka 25 tangu wabunge wake wa kwanza waingie bungeni akina rip Ndesamburo, rip Kaborou, Dr Slaa nk.

Swala la kutotambua matokeo ya uchaguzi linaendana na chama kupoteza haki yake ya kupata ruzuku na zawadi ya viti maalumu vya wabunge wanawake kwa mujibu wa katiba na sheria.

Chadema wananchi tunataka kujua msimamo wenu ni upi?

Je, mmesamehe ruzuku?

Maendeleo hayana vyama!
Ninyi si mmeshinda kwa kishindo?

Mnateseka nini saivi, undeni serikali na kamati za bunge tuione kasi ya awam ya tano
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Mwamba uliandamana au nawewe unalaumu tu?

Ungeenda wewe ungejitoa muhanga Kama jamaa wa Tunisia kisha wenzio wengine wangeandamana kukuunga mkono martyr wao.

Ulikuwa na mikwala ya kitoto humu JF kumbe ni maneno tupu.
 
Hao atakaowateua watakwendaje bungeni bila ridhaa ya vyama vyao? Au hili la vyama husika kuridhia hukulifikiria? Ni haiwezekani rais kufanya hiyo blunder!
Ccm na nec wanaaibika Sasa kwa ulafi na unafiki wao wa kumfurahisha mtu mmoja!
Rais huwa anayeua watanzania mkuu. Vyama havihusiki kabisa ktk wabunge 10 wa rais. Kinachoangaliwa ni wawe watanzania 5 wanawake na 5 wanaume. Baaasi!
 
Kwa mambo kama haya ndio utajua busara za watu,

Wapinzani hawana hata tone la busara.

Yaani ni watu wenye ubinafsi mbaya mno.

Mungu huwa hakosei aisee, I can't imagine kuwa chini ya Administration ya watu Kama hawa, bora hata Hitler mara mia.
 
Kwa hili sitawalaumu CHADEMA hata kidogo.

Tundu Lissu na CHADEMA wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita CHADEMA wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Sasa kuliko kuuza utu wao si bora waunge mkono juhudi?

Harakati za ukombozi tumbo halitangulizwi mbele, ukiona njaa inauma sana rudi Misri, wacha wanaoweza kwenda Canaan waendelee na safari ngumu
 
Back
Top Bottom