Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
mapema sana kumsifia kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Dkt. W. SLAA hakuimudu nafasi hiyo !Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Hayo umeweka wewe , Topic hapa ni John Mnyika , ya zilipendwa hatuhangaiki nayomapema sana kumsifia kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Dkt. W. SLAA hakuimudu nafasi hiyo !
hamtoshi basi kama hamna marejeoooHayo umeweka wewe , Topic hapa ni John Mnyika , ya zilipendwa hatuhangaiki nayo
Mnyika aliletwa Chadema na mzee Malecela.......bwashee usisahau hilo!Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Hiki chama kama TLP tuu ndo kishajifia hahahaaaaa yaani kinakufa kama kula tunda kimasila hahahaaaaa jamani Mbowe kala chama kisahala huku hahahaaaaaaa kama unabisha muite mkaguzi wa mahesabu πππππBado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
karibu sana mkuuWacha kumhusisha mungu na vitu vya kijingajinga
unazo akili timamu ?Hiki chama kama TLP tuu ndo kishajifia hahahaaaaa yaani kinakufa kama kula tunda kimasila hahahaaaaa jamani Mbowe kala chama kisahala huku hahahaaaaaaa kama unabisha muite mkaguzi wa mahesabu πππππ
Ningeshangaa uanzishe thredi mwenyewe alafu usije kuitetea hahaaaaaa π π πunazo akili timamu ?
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Na mpaka leo sijui kwa nini Mashinji walimpa ukatibu mkuu,mpaka anamaliza muda wake sikujua alifanya nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mpaka leo sijui kwa nini Mashinji walimpa ukatibu mkuu,mpaka anamaliza muda wake sikujua alifanya nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
mapema sana kumsifia kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Dkt. W. SLAA hakuimudu nafasi hiyo !