John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

Hiki chama kama TLP tuu ndo kishajifia hahahaaaaa yaani kinakufa kama kula tunda kimasila hahahaaaaa jamani Mbowe kala chama kisahala huku hahahaaaaaaa kama unabisha muite mkaguzi wa mahesabu 😆😆😆😆😅
jifunze kwanza kuandika mkuu
 
Kile kimya cha muda mrefu kilichotia baadhi yetu wasiwasi juu yake, inaelekea ilikuwa ni sehemu ya nidhamu kwa upande wake.
Inaelekea aliamua kufanya hivyo kwa sababu zake maalum na alifanikiwa kutimiza lengo lake hilo

Wengi tulidhani ameathirika kwa aina moja ama nyingine, kiafya, au kisiasa! Kumbe yalikuwa ni maamuzi binafsi tu ya kuamua kunyamaza.
 
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .

View attachment 1342462
Mashinji alishindwa vitu vidogo sijui ilikuwa woga au la!
 
hata ubaloz wa marekani leo wametoa tamko la kuundwa tume huru ya uchaguzi hii nafikiri ni kwa sababu ya makelele ya mnyika
Tumeshawaandikia marekani na kuwaeleza kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi. Maana wenye madaraka tukiwambia hawasikii tunaambua kuwambia mabeberu tu.
 
Kile kimya cha muda mrefu kilichotia baadhi yetu wasiwasi juu yake, inaelekea ilikuwa ni sehemu ya nidhamu kwa upande wake.
Inaelekea aliamua kufanya hivyo kwa sababu zake maalum na alifanikiwa kutimiza lengo lake hilo

Wengi tulidhani ameathirika kwa aina moja ama nyingine, kiafya, au kisiasa! Kumbe yalikuwa ni maamuzi binafsi tu ya kuamua kunyamaza.
Intelijensia ya Chadema ni ya hali ya juu sana.
 
Kile kimya cha muda mrefu kilichotia baadhi yetu wasiwasi juu yake, inaelekea ilikuwa ni sehemu ya nidhamu kwa upande wake.
Inaelekea aliamua kufanya hivyo kwa sababu zake maalum na alifanikiwa kutimiza lengo lake hilo

Wengi tulidhani ameathirika kwa aina moja ama nyingine, kiafya, au kisiasa! Kumbe yalikuwa ni maamuzi binafsi tu ya kuamua kunyamaza.
Hakika sasa kumekucha
 
Back
Top Bottom