John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

Hiki chama kama TLP tuu ndo kishajifia hahahaaaaa yaani kinakufa kama kula tunda kimasila hahahaaaaa jamani Mbowe kala chama kisahala huku hahahaaaaaaa kama unabisha muite mkaguzi wa mahesabu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…
jifunze kwanza kuandika mkuu
 
Kile kimya cha muda mrefu kilichotia baadhi yetu wasiwasi juu yake, inaelekea ilikuwa ni sehemu ya nidhamu kwa upande wake.
Inaelekea aliamua kufanya hivyo kwa sababu zake maalum na alifanikiwa kutimiza lengo lake hilo

Wengi tulidhani ameathirika kwa aina moja ama nyingine, kiafya, au kisiasa! Kumbe yalikuwa ni maamuzi binafsi tu ya kuamua kunyamaza.
 
Mashinji alishindwa vitu vidogo sijui ilikuwa woga au la!
 
hata ubaloz wa marekani leo wametoa tamko la kuundwa tume huru ya uchaguzi hii nafikiri ni kwa sababu ya makelele ya mnyika
Tumeshawaandikia marekani na kuwaeleza kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi. Maana wenye madaraka tukiwambia hawasikii tunaambua kuwambia mabeberu tu.
 
Intelijensia ya Chadema ni ya hali ya juu sana.
 
Hakika sasa kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…