John Mnyika, kuulalia mkeka uliochanika kunahitaji akili nyingi sana na sio nguvu

Kuna jambo ambalo naamini Chadema wanalisimamia ingawa sidhani kama wataweza ku achieve wanachoamini katika siku za karibuni.Pia naamini kuna jitihada behind the scene kulimaliza hili jambo bila kuonekana kuwa serikali ilkuwa na makosa!!
Ikiwa serikali inaweza kufanya maamuzi kwa mihemko ya "machizi" then hiyo serikali ijitathmini
 
Uko sahihi. Wapo wanaofungwa kwa kutokufanya makosa lakini taratibu tu zinawafunga.
Ndugu yako akiwekwa rumande fanya juu chini atoke, mengine yatafuata mkiwa nyumbani.
 
Kwani kiburi hawana
 
Mbowe hahitaji msamaha kwakuwa hana kosa. Mbowe anahitaji kuachiwa awe huru na kujumuika na familia yake na wana CHADEMA.

That is simple and plain.

Haki huwa haiombwi mzee wangu huwa inatakiwa na kutolewa.
Sasa si ni mahakama ndiyo yenye jukumu la kumwachia huru?
Mnataka Samia aingilie shauri lililoko mahakamani?, kufanya hivyo ni kuvunja katiba
 
Mpeni ushauri huyo maushungi wenu kuwa ubabe haujawahi kusaidia sana, aangalie yaliyomkuta mtangulizi wake. Watu tunakesha tukimlilia Mungu ambaye halali wala hasinzii
 
tunachotaka Mbowe aachiwe hayo mengine tunayoyasikia
Hoja uduvi hii usikute imetolewa na mtu mwenye bichwa kubwa kama tikiti la elfu saba.


Asiyetaka Mbowe aachiwe nani? Wewe mwenye huruma kwa Mbowe kiasi hiki ni nani kwa Mbowe? Kafie lumumba huko.
 
Mbowe hahitaji msamaha kwakuwa hana kosa. Mbowe anahitaji kuachiwa awe huru na kujumuika na familia yake na wana CHADEMA.

That is simple and plain.

Haki huwa haiombwi mzee wangu huwa inatakiwa na kutolewa.

hata kushikiliwa ni adhabu ile kuwa chini ya ulinzi.

sasa msione watu wanacheza na akili za mashabiki kumbe wana upeo mkubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…