John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

Mimi nilikuwa naomwomba raisi aunde tume ya kijaji na kihasibu ifatilie wale wote waliotajwa Katika ripoti ya CAG kuwa waliiba na uchunguzi huo usaidie kujuwa ukweli walioiba wakajificha nyuma ya watumishi
wanaosota na kesi wakati kumbe waliogopa vitisho vya sukuma gang na Sasa hivi wanateseka na kesi PCCB na Polisi wakati mijizi yenyewe IPO bungeni na madarakani huku ilipata ubunge na vyeo Kwa fedha za wizi ,nashauri wazalendo kama kina
(1) Warioba
(2)Hossea
(3)Othman wa tiss
(4)Assad
(5)Uttoh
(6)Tindu Lisau
(7)Heche
(8) Kibatala
(9)SEFUE
Waunde hilo jopo najuwa wanaomenyeka na kesi hizo hawasemi kitu wanajua kuwa hao SUKUMA GANG nguvu ya kiuchumi waliyokusanya kwenye ripoti ya CAG watarudi madarakani saa yoyote wakitaka na hii inawatisha kulalamika
 
Pole mkuu, kama mwendazake hakuua upinzani hata mama hataweza. Kiu yako hii sijui itatimia lini.
 
Ajenda ya pili imekaa kisasi zaidi
 
Hongereni Chadema ila msisite kutuambia tuingie mtaani lini ili heshma iwepo nchi hii.
 
Huku ni njaa tu mkuu, hata hawa wanaopiga kelele humu ikitokea mtu kafinyiwa 500M (ambayo kwa serikali ni kama punje tu) hautaona hiyo misimamo.

Shida kubwa ya watz sio katiba, ni njaa miongoni mwa kila mtu kiasi cha kushindwa kusimamia maono yao.
 
Angalau kidogo nimetulia ,mpaka jana nilikua mnyonge Sana,

Ushauri KWa viongozi wangu CHADEMA

MAZUNGUMZO NAHITAJI YAENDELE ILA PALE MKIONA NI JANJA JANJA sio LAZIMA KUENDELEA you terminate them as soon as possible

Vinginevyo baraka za Mungu ziwe juu yenu

Shukrani
 
Crystal clear, shukrani kwa viongozi wangu✌
 
2012 Wassira alisema Chadema itakufa ndani ya mwaka mmoja, Magufuli akasema 2020 ataifuta Chadema wewe unasema mama ataifuta. Kesheni mkiomba hilo.
 
Safi,ni mwanzo mzuri,kile kikosi kazi kinachoitwa cha katiba Kivunjiliwe mbali,ni wasakatonge watupu
 
Punguza mihemuko mamdogo ,unajuwaje kuwa hao uliowataja ndo wasafi au ni ile kuongozwa na hisia na mahaba!?
 
Katika hili mama na chadema wameshinda na Tanzania imeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…