Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kama kuna mwanga mzuriKweli kabisa mkuu. Mchakato huu unahitaji hekima na uvumilivu. Kuna baadhi ya viongozi wa CCM unawatisha na watafanya kila hila kuuharibu. Mungu saidia.
KaburiniMagufuli yeye yupo wapi
Ndiyo hivyo wajue Tanzania yetu woteSiku hizi dunia inazunguka kwa kasi zaidi kuliko miaka ya enzi za Nyerere.
Wenzenu wa CCM!! Kumbe ni wenzenu!!! Upinzani wa kisiasa kwishney!Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki
Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti @freemanmbowetz alimuandikia barua Rais @SuluhuSamia, pamoja na mambo mengine alimweleza haja ya kufungua ukurasa mpya wa maridhiano na haki katika Taifa letu kupitia mazungumzo, pia akawasilisha ombi la CHADEMA kukutana naye Rais
CHADEMA na wananchi wengi tunaamini kuwa katiba mpya ni nyenzo ya kilipelekea Taifa letu mbele na kufungua ukurasa mpya wa kimfumo na kitaasisi katika nchi yetu, katika mkutano wetu Ikulu Dodoma tulitoa mapendekezo yetu ya jinsi yakukwamua mchakato wa katiba mpya
Tumependekeza iundwe Tume ya Ukweli na Upatanishi itakayoshughulikia madhara ya watu walioumizwa ndani ta miaka iliyopita 6, pia tulipendekeza madhara yaliyotokea katika uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 yashughulikiwe na kuhakikisha chaguzi zijazo zinakuwa huru na haki
Kwa miaka sita ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, imepandikiza migogoro kwenye vyama takribani vitano, natoa wito kwa mamlaka husika kuchunguza mwenendo wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na kumchukulia hatua msajili wa vyama vya siasa
Mambo mengine tuliyojadili ni kutaka kufutwa kwa kesi za kisiasa na kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa, uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake ikiwemo mikutano ya siasa, kufuta sheria kandamizi nchini kwetu, kufuatilia watu walioshughulikiwa kupotea au kuuawa
Jambo lingine tuliloongea ni juu ya hakikisho la usalama kwa viongozi wetu ambao kwa sasa ni wakimbizi katika nchi nyingine, kuondolewa bungeni kwa waliokuwa wanachama wetu 19
Mwanzo huu wa mazungumzo, utafuatiwa na hatua nyingine za mazungumzo, ombi langu kwa wana-CHADEMA na Watanzania kuendelea kuwa watulivu na wavumilivu katika hatua hizi zilizoanza, kwa sababu mchakato wa mazungumzo, kujenga maridhiano na mwafaka sio tukio la siku moja
Hatma ya nchi hii, haiko kwa CCM na CHADEMA pekee hususan katika suala muhimu kama katiba, hatua kwa hatua umma utashirikishwa lengo likiwa ni kufika mwaka 2025 tukiwa na katiba mpya
#MkutanonaWaandishiwaHabarileo
#MkutanonaWaandishiwaHabarileo
Aminaaaaaa.....Tuna watakiwa maridhiano mema
Hilo lipo sawa. Kuna theory moja siku nikipata wasaa nitaizungumzia...our man behind our enemy line! Ni mambo haya haya ya kuimarisha vyama vya siasa.... "wenzetu" wa CCM? Hilo neno halijakaa sawasawa.
Wafuasi wa Mbowe wako wapi?Mbowe na Mnyika wapo Ikulu, Ndugai na genge lake wapo Kongwa
Niliposema Mnyika ni katibu dhaifu mlidhani natania? Ha ha haaa! siasa raha sana unageuza maneno unavyotaka tu!Wenzenu wa CCM!! Kumbe ni wenzenu!!! Upinzani wa kisiasa kwishney!
Home kwenuWafuasi wa Mbowe wako wapi?
Tanzania ni yetu sote mlidhani ni ya CCM pekee.Wenzenu wa CCM!! Kumbe ni wenzenu!!! Upinzani wa kisiasa kwishney!
Acha hizo ulisema lini na wapi.Niliposema Mnyika ni katibu dhaifu mlidhani natania? Ha ha haaa! siasa raha sana unageuza maneno unavyotaka tu!
Unahitajika kwenye lindo wiki hii upate akili.Bumbav, Chadema kwisha habari yao,
Mtarudi jukwaan humu kulialia ,tupo hapa
subiri hapa hapa muda si mrefu! Narudi.Acha hizo ulisema lini na wapi.
Unataka wote waende ikulu mbona CCM mara nyingi namuona Shaka na Kinana tuu nyie huwa mmejificha wapi nje ya fensi.Wafuasi wa Mbowe wako wapi?
The cardinal rule, the only rule.Watanzania wanapaswa kufahamu kwamba Katika mazungumzo yote, tutatanguliza maslahi ya Taifa na si kitu kingine
Wewe unaangalia nini?Upinzani wa bongo kwishney, wao walidhani mwendazake ndio atakaeua upinzani kumbe mama ndio anauua mazima. hamna upinzani bongo na nimegundua NJAA iliopo kwa viongozi wa upinzani ndio chimbuko la kutokuwepo huo upinzani. Twende mbele turudi nyuma, Kenya ina upinzani imara kwa kua waliopo upinzani wana fwedha na serikali haina uwezo wa kuwanunua, sio bongo njaa tupu wapinzani wanaangalia matumbo yao na familia zao...