Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Kifo chake kiko dhahiri. Mama akiona mazungumzo yanakwenda vizuri na CDM wameshikilia msimamo wa kutoshiriki kwenye hicho kikosi, kitapoteza umuhimu na hatimaye kufutwa.Safi,ni mwanzo mzuri,kile kikosi kazi kinachoitwa cha katiba Kivunjiliwe mbali,ni wasakatonge watupu