John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

sasa huoni huo utakuwa Msiba mkubwa kwa Upinzani ?

huoni Znz sasa hivi tumerudi kwny mfumo wa Chama kimoja ?

utaratibu wa Serikali za mseto mie binafsi siupendi sana kwa kuwa indirectly hasa kwa Africa inakuwa kama unaturudisha kwny mfumo wa chama kimoja
Mkuu
Hayo ni maandalizi ya serikali mseto!!!
TUSUBIRI
 
W

Weye na Mbowe nani mwenye kunuka njaa?
Mimi sina njaa ndugu yangu, napigana mimi kama mimi sio wabongo wakiwa na njaa wanakimbilia kwenye siasa. Kwanza wewe sidhani unajua hata walioanzisha hio CHADEMA, hapo Mbowe kawekwa tu kwa ajili ya njaa zake na business za mzee Mtei. Mmoja wa waanzilishi marehemu Mzee Bob Makani angekuwepo asingekubali upumbavu huu anaoufanya Mbowe wa kulamba miguu ya watawala ili tu afute njaa zake na familia yake. Upinzani bongo hamna umekwisha shauri ya njaa za viongozi, kila kiongozi anaangalia tumbo lake na familia yake, Angalia Kenya Ruto alikua makamu wa rais kapambana awe rais kwa vile hana nzala na haogopi mtu, bongo hamna mtu mwenye balls kama hizo za Ruto. Akina Mnyika na umaskini wao wakipewa asali kidogo tu warambe wanaingiza mikia kwenye makalio.Nyambaaaff zao.
 
Una njaa weye!Swali dogo na fupi unatoa maelezo ya kiswahiliswahili tu.
 

Hapa hakuna maslahi yoyote ya taifa. Hii script tunaijua vizuri; inatoka kwenye playbook aliyoitumia Maalim Seif (RIP) miaka kadhaa kwa maslahi yake binafsi. Mwanachama wa kawaida wa CUF au mwananchi wa kawaida wa Zanzibar hakuwahi kupata manufaa yoyote. Hardliners of the likes of Lissu are the biggest losers here!
 
kumbe na wewe mama unajua kubwaka πŸ– πŸ– πŸ– πŸ˜€πŸ˜€
 
Chadema kwisha habari yao,

Mtarudi jukwaan humu kulialia ,tupo hapa
Kwa kweli agenda zao azijalenga mwenendo na hali halis wa maisha ya sasa kwa wananchi, kifupi ni kama zimewalenga wao viongozi zaidi kwa hali hii ngoja tuone, maana ni kama wameamua kupambana na mtu ambaye hayupo, wakisahau kuwa mtu huyo bado anaishi miongoni mwa raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…