John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

Riport ya CAG?
Ile ripoti ya mali za ccm ambayo Dr Bashiru ndio alikuwa mwenyekiti takukuru walichunguza nini, na ni hatua gani zilichukuliwa? Hao Takukuru wanatumika tu kutaka kuleta vitisho. Ni hivi wale wabunge 19 hawarudishwi uanachama hata kwa vitisho gani. Takukuru wakashinde hata kwenye ofisi za cdm lakini habari ndiyo hiyo.
 
Kwani mimi na wewe tulijua kuwa bil 8 zimetafunwa? Mwita Waitara ndio aliibua hii kitu.

Acha Mwita Waitara, wafuateni wote waliohamia ccm waibue wizi zaidi, lakini Covid 19 ni wabunge bwa spika kinyume cha katiba fullstop. Hao Takukuru ni wauza face tu hawana lolote zaidi ya kutumikia siasa chafu.
 
Mami neno Mzee na Jaduong ni kitu kimoja . Ni sawa na kumuita mtu (M JA LUO). M na Ja ni neno moja kwa maana ile ile.

Mambo ya Cuf ni double standard ile ile
Jaduong najua vizuri, makosa ya kuchapa tu. Hakuna double standard hapo.
 
Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema.

Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo, ambayo inasadikiwa kuwa wabunge wa upinzani wa bunge la 11 walifanya ubadhilifu.

Jambo ambalo linashangaza ni kitendo cha John Mnyika kama kiongozi wa Chadema kutoa kauli kuwa kuchunguza ubadhilifu wa mifuko ya jimbo ni sahihi lakini kuchunguza michango ya wanaCdm iliyotafunwa na viongozi wa Chadema sio sahihi. Hii kauli sio njema kabisa kwani michango iliyotafunwa na viongozi wa Chadema sio mali ya umma?

Hii ni dhahiri kuwa hapa Tanzania bado hatujapata wapinzani wa ukweli bali tuna wajaza matumbo
Hivi hawa jamaa ile 1.5t hawakuisikia au?
 
Ile ripoti ya mali za ccm ambayo Dr Bashiru ndio alikuwa mwenyekiti takukuru walichunguza nini, na ni hatua gani zilichukuliwa? Hao Takukuru wanatumika tu kutaka kuleta vitisho. Ni hivi wale wabunge 19 hawarudishwi uanachama hata kwa vitisho gani. Takukuru wakashinde hata kwenye ofisi za cdm lakini habari ndiyo hiyo.
Kuhusisha suala la wabunge 19 wa Cdm na Pccb ni kufanya makosa.Maana unakuwa unapapasa kitu ambacho huna uhalisia nacho bali unahiisi tu.

Ripoti ya mali za Ccm ilipokamilika hakuna hatua zilizochukuliwa?
 
nkese mimi sio mtu wa kupoteza uelekeo kama unavyodhania. Mfano unaposema kuna 1.5 tril iliibiwa huoni kuwa unajiabisha maana hata bunge lilitoa jibu kuwa hakuna ubadhilifu? Mv Magoagoni kuna taarifa gani authentic ambayo wewe unaisource?
Bunge halikuwai kufanya uchunguzi wa hizo 1.5 isipokuwa yalitolewa maneno ya kulindana na kupotezea ili kuisahaulisha jamii, lakini hatuwezi sahau kwani tayari tunajua ufumbuzi haujatolewa.
Majibu ya Covid 19 pia yanapotezewa, waambie kuwa hatutasahau kama ambavyo 1.5 hatujaisahau.
 
Kwa post kama hii unajiabisha na kudhihilisha upuuzi wako
Bora ukae kimya.
 
Acha Mwita Waitara, wafuateni wote waliohamia ccm waibue wizi zaidi, lakini Covid 19 ni wabunge bwa spika kinyume cha katiba fullstop. Hao Takukuru ni wauza face tu hawana lolote zaidi ya kutumikia siasa chafu.
Covidi 19 wanahusika vipi na Pccb kufanya uchunguzi?
 
Nakufahamu, huwa hauna majibu zaidi ya kuandika upuuzi.
Huwezi tetea uovu na utegemee kushinda
Sina majibu ulitaka kujibiwa nini? PAC walitoa majibu hadharani bungeni juu ya tril 1.5. Habari ya Covid 19 wapi unataka majibu gani? Ukiambiwa huna akili nitakosea?
 
Sina majibu ulitaka kujibiwa nini? PAC walitoa majibu hadharani bungeni juu ya tril 1.5. Habari ya Covid 19 wapi unataka majibu gani? Ukiambiwa huna akili nitakosea?
Wote tunajua yaliyotoke kuhusu hiyo 1.5, usihangaike kushawishi mtu yeyote.
Suala la covid 19 tunajua mjadala wake ulipofikia.
Upumbavu ni kama ugonjwa hakika.
 
Wote tunajua yaliyotoke kuhusu hiyo 1.5, usihangaike kushawishi mtu yeyote.
Suala la covid 19 tunajua mjadala wake ulipofikia.
Upumbavu ni kama ugonjwa hakika.
Kaa kimya,ukishindwa kukaa kimya jikite kwenye mada. Unathibitisha upumbavu wako kupost upumbavu.
 
Joto la uchaguzi likipanda litakusaidia nini wewe?
Haijawahi kutokea Joto la uchaguzi kushuka kwa haraka muda mfupi baada ya uchaguzi kama kipindi hiki

Sielewi kwanini
 
Back
Top Bottom