Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Alafu bado kuna mijitu inakwambia tunafaa kuendelea kua na chama kimoja chenye nguvu
 
Alafu bado kuna mijitu inakwambia tunafaa kuendelea kua na chama kimoja chenye nguvu
mkuu ccm ndio kila kitu shime kesho tukamchague magufuli nifanye hii nchi kama uingereza tutakuja kumkumbuka huyu mzee
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.

risasi haziui hao watakuwa wamekufa kwa matatizo mengine, risasi zingeuwa kusingekuwa na mgombea uraisi anaitwa lisu
 
Back
Top Bottom