Mabondia wana dundwa mpaka wanzirai baada ya 5 minutes wako poa tuMkuu ulishaangalia muvi? Mtu anapigwa lisasi anavunjik vunjika na picha zinatoka afu kesho yake unamuona yuko anakula starehe?
Mateso ya kipigo anacholia Mdude kinaweza pona kwa siku Mbili kweli hata kovu hakuna?
Kwani wewe hujui kuwa majeraha aliyo yapata Mdude yalisibitishwa na Mganga mkuu wa Hospitali ya rufaa ya serikali Mjini Mbeya?Mabondia wana dundwa mpaka wanzirai baada ya 5 minutes wako poa tu
Mimi siwezi kuhakiki kutekwa kwa Mdude, lakini Kama katekwa waliomteka walimpa Kiki kubwa na Kama kajiteka kafanikiwa kwa kujipa kiki kubwa, kiasi kwamba vyombo va habari, pamoja na mitandao ya kijamii duniani viliandika na kuamini kuwa alikuwa ametekwa na kumtaja kuwa NI mwanaharakati na mkosoaji wa serikali #MdudeMdude alifikiri atapata kiki, lkn imegoma kwanza watu walianza kumptezea na wengine wakiunga mkono Alichofanyiwa sababu ya matusi yake.
Ni ujinga kama anaoleta huyu mleta mada ndio unachochea watu ku-react kwa lugha Kali ambayo wajinga haohao wanatafsiri kuwa ni matusi. Mtu aliyefunzwa vizuri hawezi kukutesa akaacha alama mwilini kwako kama ushahidi.Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.
1. Hizo siku zote nne alikuwa amewekwa wapi?
2. Alipewa chakula?
3. Mateso ya siku hizo zote yalikuwa ni kupigwa kichwa tu? Mbona hakina hata kovu?
4. Alitoa maelezo gani kwa watesi wake? Aliomba msamaha wamusamehe? Aliwaambia hata wakimuua ataendeleza harakati?
5. Hao watesi wake walipomuacha walimupatia maelekezo gani?
Utetezi wa mdude umekuwa too low to confirm japo nakemea kwa nguvu zote hawa watu wasio julikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa ndondoo zako. MAtusi waachie watoto.Ni ujinga kama anaoleta huyu mleta mada ndio unachochea watu ku-react kwa lugha Kali ambayo wajinga haohao wanatafsiri kuwa ni matusi. Mtu aliyefunzwa vizuri hawezi kukutesa akaacha alama mwilini kwako kama ushahidi.
Mkuu ulishaangalia muvi? Mtu anapigwa lisasi anavunjik vunjika na picha zinatoka afu kesho yake unamuona yuko anakula starehe?
Mateso ya kipigo anacholia Mdude kinaweza pona kwa siku Mbili kweli hata kovu hakuna?
Sawa mkuu endelea kuinamisha kuchwa.Wewe unataka kovu kwani umeambiwa alikatwa au alichinjwa, unajua maana ya kovu kweli wewe? Kwa hiyo umeenda hospitali alikotibiwa wakakuambia alikuwa ana-act movie? Kupona haraka kwa mtu ni suala la immunity yake tu. Kama unakaa na uvimbe wa kuumia miaka miwili ni wewe.
Hiyo namba 5 unaonekana umetumwa kuandika mana haiwezekani ujishushe hivyo
Kumbuka mdude ni mwana siasa.
Tundu lissu mpaka leo nipo 50/50 kama kweli alipigwa risasi.
Mwanasiasa akikuambia "vipi hali hali kaka" nenda chooni hakikisha jinsia yako then rudi umuitikiee "salama" kama kweli wewe ni kaka
Ameshafungwa? Kosa gani la kisiasa?Mama Samia alisema wafungwa wote wakisiasa waaachiwe
Ohooo, unaenda mbali.Ndiyo maana amekufa Kwa Roho mbaya.... asante Sana MUNGU Kwa kutuondolea Ile laana
Wamemgomea, hata vyombo vya habari kaagiza vyote vifunguiwe ila wamedharau wanasema eti kasema ni online tv tu, yaani Rais atoe statement ya kufungua online TV kweli?? Kwanza watanzania wengi hata hawajui online TV ndiyo niniMama Samia alisema wafungwa wote wakisiasa waaachiwe
La hasha tuacheni tuacheni tujifarijiOhooo, unaenda mbali.
Duh!Wamemgomea, hata vyombo vya habari kaagiza vyote vifunguiwe ila wamedharau wanasema eti kasema ni online tv tu, yaani Rais atoe statement ya kufungua online TV kweli?? Kwanza watanzania wengi hata hawajui online TV ndiyo nini