John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

wamefyatua na risasi!!!!!?
ni nani huyo mdude kwani?
 
Maajabu yamusa nasikia wengine wanajiteka wenyewe
 
Kwa akina le mutuz huko Tunduma!
 
Huyu ametekwa na Chadema ili wapate huruma ya watz lakini sisi hatuna mpango tunaendelea na kazi zetu tu!
 
Kama ni idara ya upelelezi ama usalama, wanahusika. Walishindwa kumuita polisi au kwenda kwake na polisi wanl kawaida?

Huu mchezo unatupeleka pabaya sana. Hata kama kafanya kosa akustahili kuchukuliwa hivyo, hii inamaanisha wanataka kumtendea ubaya au kumdhuru, watanzania kwa pamoja tupinge utekaji kwa nguvu zote bila kuangalia siasa au chama.

This is not acceptable
 
Haya niliyajua!! Kwa yale majibu yake na habar zake ni lazima yatokee!!

Sasa hapa tz uhuru uko wapi!?
Aheri yule mjomba avae tu gwanda za kijeshi, awe anatawala kijeda tujue moja.
avae mara ngapi alishavaa kututambulisha ila hatukumwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…