John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

maelezo hayana mtiririko wa kueleweka.
 
Inategemea kama ni MTU anayefahamika akizuiliwa na polisi umma ujulishwa,MTU wa kawaida uongozi wa mtaa na majirani ujua. Acheni kukwapua watu mtasaga meno mbele ni kujibu historia
Wewe hebu acha kupotosha watu. Kasome Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, hakuna sehemu imeandikwa polisi wanapomkamata mtu awe maarufu au yoyote wanapaswa kuutarifu umma. Jukumu la polisi ni kumuarifu mtuhumiwa mwenyewe sababu za kumkamata na si vinginevyo. Hiyo ya viongozi wa mtaa kujulishwa ni pale wanapotaka kufanya upekuzi na siyo kukamata.
 
Kwa siasa za kipumbavu hizi ndio zimtoe magufuli madarakani...? hebu kueni serious kidodo chadema
 
Eti Mdude!!

Btw ni jina lake au typing errors?
 
Chadema waite press conference mapema sana kesho kabla ajaliwa na waliokula ya Ben.Mwewe ukipiga kelele ukitupa kifaranga mwewe alimtupa Roma, ney wa mitego,kipanya,mo, malisa, nondo.Ben azory watu walichelewa kupiga kelele wasiojulikana ni wale wale
 
Kwa siasa za kipumbavu hizi ndio zimtoe magufuli madarakani...? hebu kueni serious kidodo chadema

Usipoteze direction Hakuna wazungu watekaji hapa.Mbinu za kishamba kweli hadi kila MTU anajua
 
Kwa huyu jamaa sijashangaa, it was a matter of time tu.... ila wananchi nao hata namba za magari hawakupata! Au wanaogopa ushahidi?
 
Watawala awapendi somewa Vitabu walivyoviandika wenyewe
 
huu ujinga sijui utaisha lini
 
Wasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Baada ya hali ya hewa ya mbeya kuchafuka vibaya
 
Watakuwa bado Dar hawajafika, hivi hawawezi kuwablock njiani hao watu maana hayo magari tayari yanajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…