Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa kweli hayo matukio yamefanya kazi ya kuwabaini mamluki ndani ya Chama kuwa rahisi sana

Hadi kufikia Mwezi August, wote watakuwa wamejionesha
 
Kwa kweli hayo matukio yamefanya kazi ya kuwabaini mamluki ndani ya Chama kuwa rahisi sana

Hadi kufikia Mwezi August, wote watakuwa wamejionesha
Sana, na cdm wasijihusushe na huyo mpuuzi, waachiwe ccm waendelee kumtibu mgonjwa wao hadi apone. Na akitokea mwingine apewe kipigo stahiki hadi wajue watu wana ajenda ya muhimu, na sio hayo maslahi yao binafsi.
 
Hakika Mkuu, nafikiri sio muda maji na mafuta vitajitenga katika hii movement ya NRNE
 
Kuna jambo linatafutwa hapa....
 
Bado hajakubali kama walishindwa uchaguzi.

Gubu kama la mwanamke alieachika kwa kufumaniwa
 
Kwenye tukio hili ndipo tutawatamb,, bua CDM wakweli na CDM hata Mamluki. Kama kusoma uwezi hata picha uoni. Huyo Sigrada ajue yeye ni Sungura anacheza mchezo kwenye huga wa Simba. Na Yeye afurahiye tu hivyo vijimchango mchango anavyopelembwa pelembwa navyo hao wenzie siyo watu hao hata kama alipandikizwa hawachelewi kumtoa kafara. CDM siyo wajinga kukaa kimya kwenye swala hili kwasababu wanamjua muhusika vizuri na malengo yake. Mchezo unaochezwa hapo ni wakisiasa na siasa kuna watu wanacheza kwa njia chafu, mimi nadhani watu waliokuwa kwenye ule mkutano ndiyo mashuhuda wazuri watukio zima lakini hakuna hata mmoja ambaye ameshuhudia hilo varangati zaidi ya POLISI na nikweli huyo muhusika Amekimbia hajapatikana mpaka leo. Mimi bado naona huu ni mchezo wakisiasa tuwaachie wanasiasa wenyewe. Tuseme achukiwe nawezake wote walikuwa kwenyemkutano kusiwe na shuhuda yoyote anayelizungumzia hili swala.. Mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe.
 
Ila Lissu alifanya kazi ya ziada sana kuingiza uongozi mpya ndani ya Chadema iliyomilikiwa na Mbowe kwa miaka mingi. Hata hizi changamoto za sasa, naamini ni za muda tu.
Mtu kukaa muda marefu kwenye uongozi ni hatari Sana, anajenga himaya....
 
Ila Lissu alifanya kazi ya ziada sana kuingiza uongozi mpya ndani ya Chadema iliyomilikiwa na Mbowe kwa miaka mingi. Hata hizi changamoto za sasa, naamini ni za muda tu.
Mropokaji kajaa visasi na udikteta tu. Kageuza chama kuwa kikundi cha watu katili kabisa, Mungiki.
 
John Mrema yupo active sana sasa hivi toka apoteze uongozi na anaongea kwa hisia sana toka atolewe kwenye uongozi kuliko alipokuwa kiongozi.

Ila ni muhimu Lissu na viongozi wengine wakutane na uongozi uliyopita wayajenge ili waende mbele pamoja. Otherwise wenzake watamuhujumu.
 
Kwenye uongozi subira muhimu, Wacha watu waongee waondoe simu, kule ccm ukihoji unafukuzwa chap
 
Kwenye uongozi subira muhimu, Wacha watu waongee waondoe simu, kule ccm ukihoji unafukuzwa chap
Kufukuwa na kupigwa kuna tofauti yoyote? Subira ni kusikiliza, kuwavuta uliowashinda wakiwa wakweli mjenge chama, nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…