CHADEMA IPO miaka na miakaaaaa.Kwamba Hana hakika kama Chadema itakuepo 2030...!
Kweli G 55 wemeamua.
Hawana impact kwenye chama, lakin wana option ya kugombea kupitia vyama vingineKwamba Hana hakika kama Chadema itakuepo 2030...!
Kweli G 55 wemeamua.
Chini ya Lisu inaenda kufa wala sio siriCHADEMA IPO miaka na miakaaaaa.
Hao njaa zao na za Mademu wao.
Waingie ACT wakagombee
Ndoto za AbunuasiChini ya Lisu inaenda kufa wala sio siri
DahWakuu,
Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030
"Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na kukifanya sasa chama chetu kujiondoa rasmi kwenye uchaguzi. Jambo hili limeua ndoto za wanachama wa CHADEMA, wapo watu wapo CHADEMA kwasababu wanawiwa kuwa madiwani wawawakilishe wananchi kwenye kata zao, wapo akina mama wanawiwa kuwa madiwani wa viti maalumu wakakiwakilishe chama na wananchi wao kwenye kata zao, kina mama hawa ndoto zao zimekufa.
"Wapo watu wanataka kuwa wabunge, kwa kutosaini kanuni, ndoto za watu hawa zimekufa mpaka mwaka 2030, hatuna uhakika kama tutakuwepo , CHADEMA itakuwepo ama laa..lakini tunawasikia viongozi wetu wakisema bora chama kife, nimemsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche."
"Wanafika mahali wanajaribu kuonesha kwamba bado kuna mlango wa kimiujiza unaweza kufunguka, tumemsikia mwanasheria mkuu wa chama akisema kuwa wanaweza bado kwenda kushiriki uchaguzi, kanuni kifungu cha 1.5 kinasema wazi chama kisichosaini maadili hakitakuwa na haki ya kushiriki uchaguzi, kanuni zimeshachapishwa kwenye gazeti la serikali, sasa ni rasmi kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi mkuu wa 2025"
"Watu hawa waliokuwa na ndoto za muda mrefu na wengine wamekitumikia chama hiki kwa miaka mingi, ndoto zao zimeuawa kwasababu tu ya kiburi cha viongozi wetu"
Ndumuz za chakandumuTuna mambo mazito sana sasahivi kuliko kukaa na press za wajinga kama hawa,Its Complain or Comply,kama wamecomplain hawajapata wanachotaka basi wa comply,kama hawawezi wahamie CCM au ACT milango ipo wazi kelele za nini?
HAkika 2025 inafurahisha sana, ccm inatupeleka mzobemzobe, chadema mtifuano, act wanasaini kanuni haramu alafu wanakuja kuzilalamikia 🤣🤣🤣Wakuu,