PreGE2025 John Mrema: G55 Tunajipanga na kampeni za uchaguzi

PreGE2025 John Mrema: G55 Tunajipanga na kampeni za uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni”


 

Attachments

  • 1743932941718.png
    1743932941718.png
    348.1 KB · Views: 38
Afukuzwe maramoja huyo....Njaa na Uroho wa kudekeza Matumbo hawa ndo WALITUKWAMISHA SANA!!!
 
Safi sana, sasa hivi mwenyekiti atapata kilema cha roho
 
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni”View attachment 3294753
Hata kama mpo elfu,mnaweza kwenda kugombea na kufanya kampeni kwenye chama kingine na siyo Chadema.Mana Chadema ni NRNE.
 
CHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.
😂😂 Hili kundi la Mbowe halikutegemea kushindwa. Na walipewa pesa na ccm kuhakikisha Lisu hashindi. Kwa sasa limeshindwa hivyo limeagizwa kutekeleza ajenda waliyopewa na ccm. Hawa watapata backup ya ccm kama waliyopata covid19. Lakini cdm ya Lisu inatakiwa iendelee kushikilia iliposhikilia maana inalindwa na maamuzi ya vikao halali vya chama.
 
Huyu ndio ANAOTA NDOTO ZA SAA NNE kabisa, hivi wewe hata ukiingia kwenye kinyang[anyilo, unauzika sokoni au ndio mnaingia tu bila hata kufanya reseach ya kukubalika kwako,
Msimamo ni ule ule NO REFORM NO ELECTION
MREMA BADO ANA KIWEWE CHA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA,
TAMBUA KWAMBA TUNAKUFAHAMU, SEGELEA HUWEZI KUPITA HATA KWA UCHAWI, SEMA TU HUYU UMRI BUMEENDA NA HAWEZI AJILIWA POPOTE.
IMEKULAMBA BEST WAZIRI WANGU WA ELIMU PALE MLIMANI.
KWA HILI UNALOLIFANYA KULE JESHINI TULIKUA TUNASEMA UMEWAS OUT
ANZISHENI CHAMA CHENU MUDA BADO UPO NA KWA KUWA MKO WENGI MAMBO YATAKUA BAM BAM
 
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni”
View attachment 3294755


Aliesimamia ishu ya covid 19 kuwa bungeni ndio huyo huyo atawezesha hili kundi kufanya mikutano na possibly wakapata ubunge

Hope mmenisoma
 
upinzani kushinda uchaguzi kwa mfumo huu ni ndoto ya alinacha na hilo jambo mm nililijua mwaka 2015 nikiwa form 5 natokeo hapo haijawah tokea nipige kura wala kujiandikisha kwenye daftari lao.

Hayo yote nimeyajua nikiwa mdogo na wala sikiwa wanasiasa nashangaa mtu kama huyu anakuwa na akili gani za kutaka kugombea ubunge.

Huyu katumwa.
 
Back
Top Bottom