kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Fukuza hii kenge ndani ya chama
Ni vigumu chama cha upinzani kushika Dola. Haviko kimkakati, na haitatokea kwa Tanzania hii kw sababu wenyewe "wanaruka na kukanyagana". Wakianza msimamo baadae wanaibuka wapinzani ndani ya chama Chao.CHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.