The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wapambe Wa Mbowe Hao Mwenyewe Kajificha Amehamua Kuwatuma Vikaragosi vyakeCHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zilionekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada tu ya uchaguzi ndani ya chama.
Kashafungasha barua iko njiani....hana impact kwenye chamaCHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.
Hata kama mpo elfu,mnaweza kwenda kugombea na kufanya kampeni kwenye chama kingine na siyo Chadema.Mana Chadema ni NRNE."G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni”View attachment 3294753
😂😂 Hili kundi la Mbowe halikutegemea kushindwa. Na walipewa pesa na ccm kuhakikisha Lisu hashindi. Kwa sasa limeshindwa hivyo limeagizwa kutekeleza ajenda waliyopewa na ccm. Hawa watapata backup ya ccm kama waliyopata covid19. Lakini cdm ya Lisu inatakiwa iendelee kushikilia iliposhikilia maana inalindwa na maamuzi ya vikao halali vya chama.CHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.
chuki binafsi kwasababu tu ya mtua anaeleza ukweli ni kitu mbaya sana gentleman , acha hizoCHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi na tunaendelea kupeana uzoefu kuona tunawezaje kupata rasilimali ili kujipanga na kampeni”
View attachment 3294755