CHADEMA, fanyeni kumfukuza tu huyu John Mrema! Huyu ni kirusi ndani ya chama. Na dalili zake zilianza kuonekana tangu wakati wa kampeni, na hata baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya.
Ni vigumu chama cha upinzani kushika Dola. Haviko kimkakati, na haitatokea kwa Tanzania hii kw sababu wenyewe "wanaruka na kukanyagana". Wakianza msimamo baadae wanaibuka wapinzani ndani ya chama Chao.
Gentleman,
tamko analotoa huyo joni mrema ni maazimio ya hao wote walioko kwenye mkutano huo, iweje ushauri na upendekeze Joni mrema pekee afukuzwe chadema kama sio chuki binafsi?