Pre GE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kiusalama,
muhalifu kaidi ni sharti adhoofishwe kwanza, adhubitiwe ndipo sasa hatua nyingine kama ambavyo umeeleza zinaweza kufuata...

inafanyika hivyo ili kunusuru kutokea taharuki, uharibifu na pengine maafa yasisababishwe na mtuhumiwa kaidi na pengine aliejizatiti kuleta fujo 🐒
Ni mwehu kutoka Mirembe anayeweza kuelewa hiyo falsafa yako! Utawala bora ni pamoja na kuzingatia katiba na sheria. Mihemuko ya Samia na ushenzi wa Awadhi Haji ndiyo furaha ya wehu kama wewe!
 
sio falsafa ni utaratibu wa wa kawaaida kiusalama duniani kote gentleman 🐒

haziwezekani muhalifu kaidi, mbishi, mwenye kiburi na aliejizatiti, mathalani kwa silaha nzito ukamchekea tu eti kwasababu kuna utawala wa sheria, you will be no more 🤣

unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza mahali pa kuabudia?🐒
 
Duniani ndipo nilipo mimi na haijawahi kuwa hivyo! Ni madikteta peke yao wanaweza kuvamia raia wema wasio na silaha kwa silaha. Madikteta wana tabia ya kukuza kichuguu kuwa mlima ili kuficha uovu wao!
 
sasa wewe jichanganye na ujuaji wako beba na katiba kabisa mkononi halafu kaidi amri, onyo, malekezo au ilani ya kiusalama inayotolewa na vyombo vya ulinzi na usalama na utafurahia namna hizo sheria na katiba jinsi zinavyofanya kazi kwa vitendo kwa wajuaji, waerevu na wenye kiburi 🤣
 
Sitashangaa kwa kuwa majambazi wote hutumia bunduki kuua sisimizi bila mafanikio! Bado shetani Awadhi Haji atashughulikiwa, kila marefu yana ncha!
 
kivyovyote vile itakavyokua,
ni muhimu sana kuepuka kabisaaaa kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama wanapotekeleza majukumu yao, na utakua salama, vinginevyo utashughulikiwa na kutii sheria kwa lazima na hakuna jambo lolote litasimama kwasabb ya ukaidi na jeuri yako, ya kutokutii sheria bila shuruti na hamna kitu utafanya na mahakamani utakwenda vilevile 🐒
 
Hivyo siyo vyombo vya usalama bali vyombo vya majambazi waliovalishwa nguo za polisi wa umma!

Huo ni uhaini na mahakamani yake ni wananchi!
 
ukikaidi kutii sheria kwa hiari yako, utalazimishwa kwa nguvu bila mbambamba yoyote hata uwe na kiburi na ukaidi namna gani,

maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Tangu lini jambazi akapewa utii! Jambazi ni kama ukoma!
 
Back
Top Bottom