Ni mwehu kutoka Mirembe anayeweza kuelewa hiyo falsafa yako! Utawala bora ni pamoja na kuzingatia katiba na sheria. Mihemuko ya Samia na ushenzi wa Awadhi Haji ndiyo furaha ya wehu kama wewe!kiusalama,
muhalifu kaidi ni sharti adhoofishwe kwanza, adhubitiwe ndipo sasa hatua nyingine kama ambavyo umeeleza zinaweza kufuata...
inafanyika hivyo ili kunusuru kutokea taharuki, uharibifu na pengine maafa yasisababishwe na mtuhumiwa kaidi na pengine aliejizatiti kuleta fujo π
sio falsafa ni utaratibu wa wa kawaaida kiusalama duniani kote gentleman πNi mwehu kutoka Mirembe anayeweza kuelewa hiyo falsafa yako! Utawala bora ni pamoja na kuzingatia katiba na sheria. Mihemuko ya Samia na ushenzi wa Awadhi Haji ndiyo furaha ya wehu kama wewe!
Naona hoja zimekushinda unaanza viroja vya dada Mwajuma.Kanawe Sasa inatosha
Duniani ndipo nilipo mimi na haijawahi kuwa hivyo! Ni madikteta peke yao wanaweza kuvamia raia wema wasio na silaha kwa silaha. Madikteta wana tabia ya kukuza kichuguu kuwa mlima ili kuficha uovu wao!sio falsafa ni utaratibu wa wa kawaaida kiusalama duniani kote gentleman π
haziwezekani muhalifu kaidi, mbishi, mwenye kiburi na aliejizatiti, mathalani kwa silaha nzito ukamchekea tu eti kwasababu kuna utawala wa sheria, you will be no more π€£
unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza mahali pa kuabudia?π
Imetosha ,nawe twende kitimoto tutakuta imeisha labda iagizwe waaze kuchomaNaona hoja zimekushinda unaanza viroja vya dada Mwajuma.
Naona hoja zimekushinda unaanza viroja vya dada Esta.Imetosha ,nawe twende kitimoto tutakuta imeisha labda iagizwe waaze kuchoma
Fair enough.Nyanoko Hange gete
Inasikitisha sana...
sasa wewe jichanganye na ujuaji wako beba na katiba kabisa mkononi halafu kaidi amri, onyo, malekezo au ilani ya kiusalama inayotolewa na vyombo vya ulinzi na usalama na utafurahia namna hizo sheria na katiba jinsi zinavyofanya kazi kwa vitendo kwa wajuaji, waerevu na wenye kiburi π€£Duniani ndipo nilipo mimi na haijawahi kuwa hivyo! Ni madikteta peke yao wanaweza kuvamia raia wema wasio na silaha kwa silaha. Madikteta wana tabia ya kukuza kichuguu kuwa mlima ili kuficha uovu wao!
Sitashangaa kwa kuwa majambazi wote hutumia bunduki kuua sisimizi bila mafanikio! Bado shetani Awadhi Haji atashughulikiwa, kila marefu yana ncha!sasa wewe jichanganye na ujuaji wako beba na katiba kabisa mkononi halafu kaidi amri, onyo, malekezo au ilani ya kiusalama inayotolewa na vyombo vya ulinzi na usalama na utafurahia namna hizo sheria na katiba jinsi zinavyofanya kazi kwa vitendo kwa wajuaji, waerevu na wenye kiburi π€£
kivyovyote vile itakavyokua,Sitashangaa kwa kuwa majambazi wote hutumia bunduki kuua sisimizi bila mafanikio! Bado shetani Awadhi Haji atashughulikiwa, kila marefu yana ncha!
Hivyo siyo vyombo vya usalama bali vyombo vya majambazi waliovalishwa nguo za polisi wa umma!kivyovyote vile itakavyokua,
ni muhimu sana kuepuka kabisaaaa kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama wanapotekeleza majukumu yao, na utakua salama, vinginevyo utashughulikiwa na kutii sheria kwa lazima na hakuna jambo lolote litasimama kwasabb ya ukaidi na jeuri yako, ya kutokutii sheria bila shuruti na hamna kitu utafanya na mahakamani utakwenda vilevile π
ukikaidi kutii sheria kwa hiari yako, utalazimishwa kwa nguvu bila mbambamba yoyote hata uwe na kiburi na ukaidi namna gani,Hivyo siyo vyombo vya usalama bali vyombo vya majambazi waliovalishwa nguo za polisi wa umma!
Huo ni uhaini na mahakamani yake ni wananchi!
Tangu lini jambazi akapewa utii! Jambazi ni kama ukoma!ukikaidi kutii sheria kwa hiari yako, utalazimishwa kwa nguvu bila mbambamba yoyote hata uwe na kiburi na ukaidi namna gani,
maana hakuna namna nyingine sasa π