Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaowapigia kelele wamuone wapo wanatupiana lawama kwa pesa walizotumia kwa Mbowe na mkeka ukachanika!
 
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,

"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!

"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Kata ya Segerea bwana Kitomary!

"Wanademokrasia, wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme! Wanataka kufukuza wengine uanachama ili wasisemwe!

"Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawazo na kutoa maoni! CHADEMA ndiyo chama changu, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote!

"Nawatahadharisha acheni ujinga huo!"

Aseme nini kama sio majungu tu.
Akileta fyoko fukuza huyo mpuuzi akabwekee huko nje.
Uchaguzi umekwisha, huo upuuzi wake kwa nini hakuusema mapema?
 
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,

"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!

"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Kata ya Segerea bwana Kitomary!

"Wanademokrasia, wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme! Wanataka kufukuza wengine uanachama ili wasisemwe!

"Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawazo na kutoa maoni! CHADEMA ndiyo chama changu, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote!

"Nawatahadharisha acheni ujinga huo!"

Ondoka bwashee
 
What caused the collapse of Chagga empire?

1. Mugabelism
2. Failure to cope with time
3. Leaders' hypocrisy and indifference
4. Honey tasting
5. Political calamities
6. Yericko Nyerere, Wenje, Boni Yai and Ntobi.
7. Lissu's fanaticism, Heche's flamboyance and Mbowe's fake calm demeanor.
8. Kuchokwa na watu
 
Back
Top Bottom