Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Na CCM kumejaaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nathan ni vzur wakuache uongee maana awali ulikua huongei ulkua kmya maana ulkua na tonge la ugali na nyama mdomon na sio utamaduni wa kiafrika mtu kuongea akiwa na chakula mdomon ,kama sa hiv hakipo nadhan wakuache uongee
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,
"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!
"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Kata ya Segerea bwana Kitomary!
"Wanademokrasia, wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme! Wanataka kufukuza wengine uanachama ili wasisemwe!
"Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawazo na kutoa maoni! CHADEMA ndiyo chama changu, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote!
"Nawatahadharisha acheni ujinga huo!"
Huyo Msigwa ni Mungu wa Chadema? mbona anatajwa tajwa sana?Huyu ni mmoja wa waliomuumiza MSIGWA ,hastaili kuwepo kwenye chama hadi muda huu.
Naam kama ni Rushwa si kuna Sheria, Taratibu na Kamati za Nidhamu n.k., Hivyo kama kweli akionekana ana kosa basi ashughulikiwe kama Chama walivyojipangia kumshughulikia mtu kama huyu akifanya kama hayo...,Tatizo kubwa ni rushwa. Na TL aliahidi na kujitanaibisha mapema kabisa kuwa akichukua uongozi atasafisha chama. Jaribu kufikiria kama yeye alikuwa mkuu wa nidhamu ndani ya chama je mangapi anayajua?
Ndiyo maana tumesema kuwe na Tume ya mapatanisho - kila upande umeumizwa ; ukiruhusu haya ya kufukuzana CDM haifiki mbali - muda ni mchache sana kuelekea uchaguzi Mkuu. Msiwape nafasi maadui wetu wapumue, inatakiwa pressing inanze kwa umoja wote, yaani ni kukabia juu.Huyu ni mmoja wa waliomuumiza MSIGWA ,hastaili kuwepo kwenye chama hadi muda huu.
Mahali popote ukiingia uongozi mpya kuna wale mafundi wa majungu wanakimbilia kuuweka sawa. Na kwa vile uongozi huu unaendekeza fitna basi wataumia wengi.Kwani amemkosea Nini lissu mpaka atake kumfuta uanachama? Mbona sikuwahi kumsikia kwenye kampein akimsema vibaya lissu??
Kimsingi uchaguzi ushakwisha sasa ni muda wa kujenga chama, haya mambo ya kutishiana tishiana sio kabisa( kama ni kweli). Vinginevyo huyo jamaa anatafuta kiki ya kuondokea asipewe hiyo frusa
Msigwa ni rafiki yao Lissu, Lema na Heche. Heche peke yake ndie aliyelaani vikali juhudi zake za kukichafua chama. Mimi nawashangaa wale ambao wanakomalia wakina Halima wasirudi lakini wanampigia debe Msigwa na Slaa.Huyo Msigwa ni Mungu wa Chadema? mbona anatajwa tajwa sana?
Lissu angeonyesha ukomavu wa hali ya juu kama angewapa mkono Wenje, Ntobi na Nyerere na kuwahakikishia usalama wa nafasi zao katika chama. Yeye mbona alimuita Mbowe muongo lakini alimpa mkono?Ndiyo maana tumesema kuwe na Tume ya mapatanisho - kila upande umeumizwa ; ukiruhusu haya ya kufukuzana CDM haifiki mbali - muda ni mchache sana kuelekea uchaguzi Mkuu. Msiwape nafasi maadui wetu wapumue, inatakiwa pressing inanze kwa umoja wote, yaani ni kukabia juu.
Mrema leo ni mtu wa kulalamikia viongozi wa Chadema Tawi?! Mkubwa huoni fishy agenda in his claims?Kama ni kweli anachoongea Mrema basi ni makosa, CHADEMA tunatakiwa tuheshimu freedom of Speech kwa vitendo.
Ngese lingine hili. Hapa mi CCM inaanza kutumia plan B kununua mamluki na kuweka fitna.
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,
"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!
"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Kata ya Segerea bwana Kitomary!
"Wanademokrasia, wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme! Wanataka kufukuza wengine uanachama ili wasisemwe!
"Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawazo na kutoa maoni! CHADEMA ndiyo chama changu, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote!
"Nawatahadharisha acheni ujinga huo!"
Anatunga hayo kuchafua chama. Hamna mwenye mpango nae.Uongozi mpya msiruhusu haya mambo ya kufukuzana mapema hivi. Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila raia, ilindeni na muiishi demokrasia ambayo kila siku tunaihubiri.
Uongozi wa visasi si mzuri, mtakuwa mmeanza na mguu wa kushoto.
Tunafikiri hili jambo halitatokea.
Sasa yule mweye kiti wa BAWACHA anajisikiaje maana alisha jinasibisha kabisa ila kwa kuwa TUNDU LISSU anajua kutatua matatizo ya ndani ya chama atamaliza hiyo shidaUlichagua upande, Africa ukichagua upande wewe ni tatizo labda ujifiche au kuwa mstaarab.
Ulichagua upande na ukawa unavimba, boni yai mwenzio alikuwa mwepesi muda wote tofauti na mwanzo alivyokuwa yeye na Yerico mengele
Pole sana mkuu. Jipe moyo umeshindwa.Team Lissu ni nyoko sana.
Lissu hana hilo anachojua vita tu.Hatuhitaji visasi by theway mshikamano daima CHADEMA kwanza mengine baadae.
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,
"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!
"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Kata ya Segerea bwana Kitomary!
"Wanademokrasia, wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme! Wanataka kufukuza wengine uanachama ili wasisemwe!
"Demokrasia ni pamoja na uhuru wa mawazo na kutoa maoni! CHADEMA ndiyo chama changu, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote!
"Nawatahadharisha acheni ujinga huo!"
Lissu hana hilo anachojua vita tu.
Kawaida tu mtu akiingia madarakani anaangalia nani bora kwake.Kwahio Chama ni cha New Administration na Sio Wanachama wote ? Mbona kama mnafanya recycling ya kile ambacho mlitaka kukiondoa ?
Nadhani ifike wakati kuwe na mgombea Binafsi sababu hivi vyama ni kama vimekuwa magenge ya individuals na sio mkusanyiko wa watu wenye itikadi sawa...