Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa yule mweye kiti wa BAWACHA anajisikiaje maana alisha jinasibisha kabisa ila kwa kuwa TUNDU LISSU anajua kutatua matatizo ya ndani ya chama atamaliza hiyo shida

Aliyekwambia utndu lissu anajua kuyatatua matatizo ya ndani ya Chama ni nani?
 
Kwahio Chama ni cha New Administration na Sio Wanachama wote ? Mbona kama mnafanya recycling ya kile ambacho mlitaka kukiondoa ?

Nadhani ifike wakati kuwe na mgombea Binafsi sababu hivi vyama ni kama vimekuwa magenge ya individuals na sio mkusanyiko wa watu wenye itikadi sawa...
Nashangaa


Kabisa vyama ni upuuzi Bora kugombea binafsi
 
Mahali popote ukiingia uongozi mpya kuna wale mafundi wa majungu wanakimbilia kuuweka sawa. Na kwa vile uongozi huu unaendekeza fitna basi wataumia wengi.

Lema alimpigia simu Lissu kumuombia kuwa watu wananyimwa vitambulisho, wameambiwa watavipata kesho yake. Waandishi wa habari wakamkuta Kigaila anaendelea zoezi zima na hamna aliyenyimwa kitambulisho. Wakasingizia kuwa watu wanapewa rushwa vyooni kumbe ni maofisa kutoka kanda walikuwa wanawapa watu posho na nauli zao!

Hawa sio wa kuwaamini.

Amandla...
Lissu ni mtu mwenye misimamo lkn sio mtu wa visasi, angekuwa mtu wa visasi bashite asingekuwa hai kwa namna yoyote ile. Pengine mrema kaamua kutengeneza mazingira ya kupokeleka upande wa pili
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mh Freeman Mbowe ndiye aliyesema mwanachama ambaye siyo Kiongozi mamlaka yake ya Nidhamu ni Ofisi ya TAWI

Kama lawama basi apewe Mh Mbowe

Mlale unono 😄
 
Kwani Mrema anachukuliwa hatua kwa ajili ya Freedom of Speech au fedha za Abdul? Hujui hawa ndo wamekula fedha za Abdul kwa nia ya kuiangamiza Chadema?
Hizo ni tuhuma tu hazina ushahidi wowote.
 
Aachwe aongee atakacho, kisha akimaliza aulizwe kama ametosheka. Kama bado aombe michango tumchangie ya kuitisha press nyingine. Ni kawaida kutokukubali kupoteza kirahisi sehemu uliyokuwa unapatia mlo. Kutaka kumfukuza kama ni kweli ni kumpa millage asiyostahili.
 
Naam kama ni Rushwa si kuna Sheria, Taratibu na Kamati za Nidhamu n.k., Hivyo kama kweli akionekana ana kosa basi ashughulikiwe kama Chama walivyojipangia kumshughulikia mtu kama huyu akifanya kama hayo...,
You're right
 
Kaeni kwa kutulia mpaka akili ziwakae sawa. Maana niliwaambia Lissu atakisambaratisha chama lakini hamkunisikia. Tena ikiwezekana upigwe kabisa na makofi
 
Back
Top Bottom