TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

Pole sana Karen kwa kupotelewa na mzazi Mungu akutie nguvu katika kufunua ukarasa mpya
 
Poleni kwa msiba.

Ila kuweni macho yericko nyerere asije akaanza kutapeli watu kwa kuchangisha michango ya rambi rambi na kutokomea nayo kuzimu.

Maana huku mtaani anazid kuongopea watu kuwa yeye ni mwama wa damu wa nyerere pia.
 
Nakumbuka story za John tangu akiwa mwanafunzi wa Mkwawa sekondari. Alikuwa toto tundu na kumlazimisha JK akampigie magoti mwalimu mkuu kuepusha mwanae John asifukuzwe shule.

Likawa somo kubwa sana kwa viongozi kwamba heshima kwa taratibu za shule iheshimiwe. Mwalimu mkuu alipandishwa cheo kwa kumfukuza John badala ya mategemeo ya wengi kwamba rais angemfukuza.

Siku hizi watoto wa wakubwa hawaguswi kuepusha zari kwa wakuu wa shule hizo kuchomekewa kila aina ya adha. Very intelligent John alikuwa kioo cha wanafunzi wenye kupenda kujifunza kwa matukio ya John na usomaji wake.

RIP John.

Sio John mkuu, ni Andrew Nyerere
 
Poleni Sana wafiwa.

Familia ya Baba wa Taifa inazidi Kupukutika.

IRP. ROSE.
 
Zaburi 39:4

BWANA, unijulishe mwisho wangu,
Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani;
Nijue jinsi nilivyo dhaifu.

RIP JJ
 
Back
Top Bottom