Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Jamaa kasema ukweli waafrika ukifanikiwa tu ukoo wote unakutegemeaNdo maisha ya waafrika mtu una hangaika , unateseka saa nyingine unakutana na kifo uso kwa uso kuyatafuta mafanikio.
La kushangaza ukisha yapata hayo mafanikio ndugu wanarazimisha yawe ya ukoo mzima.
Hapa Africa usipo kuwa mnonko utoboi.
Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app