Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Jamaa kasema ukweli waafrika ukifanikiwa tu ukoo wote unakutegemeaNdo maisha ya waafrika mtu una hangaika , unateseka saa nyingine unakutana na kifo uso kwa uso kuyatafuta mafanikio.
La kushangaza ukisha yapata hayo mafanikio ndugu wanarazimisha yawe ya ukoo mzima.
Hapa Africa usipo kuwa mnonko utoboi.
Mafanikio yako yanakuwa ya ukoo mzima na ukoo wa mkeo Afrika bara la ajabu sanaHuo ndo ukweli wa wazi kabisa,yaani ukifanikiwa,wewe unakua sehemu ya kupitishia pesa tu.Pesa zikikufikia hazikai,zinapitiliza,all in all hiyo ni culture yetu sisi waafrika.Mtu mwingine hadi anasema bora asingefanikiwa,maana haifaidi pesa yake.Pole kwa waliofanikiwa,ila ambao hatujafanikiwa,tujifunze kuhisi maumivu wabayoyapata wale ambao wanatusaidia,wakisema hawana,tuwaelewe,na muda mwingine tujiongeze,maisha ni magumu.
Baadhi ya ndugu na marafiki,ukiwa unastrago,hawakupi msaada,tena wengine wanakupiga majungu usifanikiwe,ukifanikiwa tu,yaani hata namba hutajua wameitoa wapi,full kukupiga mizinga.Kuna mwanajeshi mmoja nilikua naongea nae majuzi hapa,daah! hadi anatia huruma,mara aombwe hela za kulimia,mara aombwe hela za matibabu,wengine hata hasaumwi,wanasingizia tu,sasa tunaelekea miezi ya sikukuu,kidogo nimshauri abadilishe laini,anapigwa misinga kinoma.Mafanikio yako yanakuwa ya ukoo mzima na ukoo wa mkeo Afrika bara la ajabu sana
Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
Na uwepo wa simu pia,umeleta hasara kwa jamii zetu kwa upande flani,zamani ilikua ukienda nyumbani unaenda kumaliza lawama zote kwa maramoja baada ya kutokwenda kwa miaka let's say miwili,ila kwasababu ya simu,mtu akipata namba yako,anataka hatakama kaishiwa umeme,umsaidie pesa,ukimnyima lawama zinaanza,ingawa unamsaidiaga siku nyingine.Africa Unaweza kuombwa mara kumi na ukatoa bila shida. Ikitokea mara moja ukasema huna. Unageuka mbaya na kuitwa una roho mbaya. Ishi nao kwa akili.
Daaah kama umeongea ukweli aseeeh! Hivi zamani mizinga mizinga hii ilikuepo kweli?! Maana nakumbuka barua tulikua tunaandikiana hata mara moja kwa mwaka. Labda urudi likizo kijijiniNa uwepo wa simu pia,umeleta hasara kwa jamii zetu kwa upande flani,zamani ilikua ukienda nyumbani unaenda kumaliza lawama zote kwa maramoja baada ya kutokwenda kwa miaka let's say miwili,ila kwasababu ya simu,mtu akipata namba yako,anataka hatakama kaishiwa umeme,umsaidie pesa,ukimnyima lawama zinaanza,ingawa unamsaidiaga siku nyingine.
Nilijifunza sana kuogopa aina ya watu wanaopenda kuombaomba wengi wana roho mbaya na wakosa shukrani. Natoa nikitaka. Hata mimi nikiwa na shida nisipopata msaada huwa sinung'uniki maana najua kusaidiwa na mtu ni hiari si lazima.Na uwepo wa simu pia,umeleta hasara kwa jamii zetu kwa upande flani,zamani ilikua ukienda nyumbani unaenda kumaliza lawama zote kwa maramoja baada ya kutokwenda kwa miaka let's say miwili,ila kwasababu ya simu,mtu akipata namba yako,anataka hatakama kaishiwa umeme,umsaidie pesa,ukimnyima lawama zinaanza,ingawa unamsaidiaga siku nyingine.
Inaonekana na wewe ni ombaomba kama anaowasema obi.Obi mwenyewe anaongea ivyo kwa sababu yeye katoboa vinginevyo na yeye angekua anapiga mizinga ndugu waliotoboa. Mifumo ya maisha yetu Afrika haipo vizuri katika kumwezesha mtu afikie potential yake kwaiyo kufanikiwa ni kama bahati nasibu tu. Ukifanikiwa wainue ndugu zako hao wazungu tunaotaka kujifananisha nao wao maisha yao yapo systematic kuanzia mtu anapozaliwa mpaka anafikia kujitegemea.
Umesikiliza interview yake yote???Ni ubinafsi tu, kwa pesa aliyonayo Obi, hata wangezaa watoto 20 kila mmoja anao uwezo kuhudumia. tujifunze kuwa watoaji kuliko wapokeaji ili tupate thawabu mbinguni, maisha sio hapa duniani pekee. sasa imemsaidia nini kusadia hao wajomba na kuja kuwananga dunia nzima ijuwe? akifa leo familia au watoto wa obi watakuwa ndugu wa kweli wa hao wajomba ambao amewaaibisha? ukiwa na kitu mpe mtu kama una uwezo huo, na ukimpa usimnange na wala usihitaji shukrani.