Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine , Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania , Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake .

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania .

Tabora :
View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729
Chadema kazi wanayoiweza ni kubwaka na kubwata tu
 
Dadekiii lumumba wanachungulia tu na TOZO zao....
Join_The_Chain%2C_Join_The_Change%0A%23ShilingiYetuNguvuYetu.jpg
instagram.jpg
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729
Wacha niunge VPN yangu fasta maana Hangaya alivo na gubu hakawii kuichezea twitter
 
Kama una shida ya macho kimbia haraka CCBRT
Kweli huenda nina shida ya macho, maana hiyo picha ya pili ninaiona kama chumba cha Mganga wa Jadi.
Picha ya kwanza naiona kama kusanyiko la kibanda umiza wakiangalia ligi kuu Tanzania Bara.
 
[emoji1787][emoji1787]
Hawana nyimbo hao....

Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....
Kinachoniacha hoi ni pale CCM inavyuo vingi lakini inategemea viongozi waliopikwa na MBOWE kuongoza. Tena inawanunua kwa gharama kubwa sana.
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729
But join the chain ni kitu gani? CHADEMA wametangaza sana, but wakiulizwa hawajibu.
 
Kinachoniacha hoi ni pale CCM inavyuo vingi lakini inategemea viongozi waliopikwa na MBOWE kuongoza. Tena inawanunua kwa gharama kubwa sana.
Hili ni kosa la kiufundi kwa CCM. Uwawie radhi wameshaanza kulirekebisha.
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729

Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .

YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD

Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .

Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Hongereni
 
Tuko tayari kujoin the Chain of Freedom
 
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....

Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! 🤣🤣
Nyie mliopanga maghorofani uchaguzi bila polisi huwa mnashinda?
 
Back
Top Bottom