Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.
Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.
Tabora:
View attachment 2130727
Mtwara:
View attachment 2130729
Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .
YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD
Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .
Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .