Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Kuzindua Chuo si hoja ,mbona hata kile cha KIVUKONI ni chao na wakashindwa kupata viongozi waadirifu!!! Wakaambulia kuokoteza wakina Sabaya na Bashite!!! Gabbage in Gabbage out!!
Hata Jiwe naye
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729


Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .

YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD


Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .

Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Upuuzi
 
CHADEMA iliyotikisa nchi ile ya wakati ule Dr Slaa! Wakaja kupotea njia baada ya kuingia tamaa ya kuitaka dola kupitia kwa Lowassa.
Bahati mbaya sana wengi wa wana CHADEMA hawapendi kukosolewa. Kila anayewakosoa wanamrukia kwa matusi na kashfa..
 
Ni jumuiko la kuchangia chama chao kwa kishindo , masaa mawili tu 15bil .
Maajabu ni pale chama kikongwe kinapotumia njia za kiharamia kubakia madarakani kwa msaada wa vyombo vya dola.

CDM definitely knows the fact that stitch in time saves nine. It is a thousand when you think it represents one, but means billions when it represents millions of devotedly support.
 
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....

Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! [emoji1787][emoji1787]
Wao wanaamini Itikadi inaishi Rohoni sio kwenye ofisi kwani cha umuhimu kwao ni somo la uraia na Itikadi kwanza sio majengo
 
Hili ni kosa la kiufundi kwa CCM. Uwawie radhi wameshaanza kulirekebisha.
Tunalirekebisha wakati tumeshachelewa kwani utegemee kwa huu uongozi wa kutegemea kilichoiva na kukichuma,misaada na mikopo hatuna jipya kwa watanzania wa leo
Mpaka mfumuko wa bei na swala create ajira limetushinda wakati nchi imejaa njia nyingi za kuuondoa huu mkwamo ambao chama changu kimeshindwa kuliangalia.
 
Tunalirekebisha wakati tumeshachelewa kwani utegemee kwa huu uongozi wa kutegemea kilichoiva na kukichuma,misaada na mikopo hatuna jipya kwa watanzania wa leo
Mpaka mfumuko wa bei na swala create ajira limetushinda wakati nchi imejaa njia nyingi za kuuondoa huu mkwamo ambao chama changu kimeshindwa kuliangalia.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom