Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Lissu na Lema wanafanya nini Ulaya?

Ni kazi gani inayowaingizia kipato huko
.
Sababu ya kwamba wanamkimbia Magufuli kumbe ilikuwa uongo tu??

Kulelewa raha
Mbona wewe unapakatwa na polepole plus ile ky yako uliacha kwake,bladifaken
 
Hiyo join the chain campaign hadi muda hu chadema mumeingiza shilingi ngapi? Huwa mko vizuri sana kwa Lugha laini laghai kuomba michango ila mkiombwa report ya kilichopatikana mnakuwa wakali kama pilipili.Mnakuwa tu join thechsin kuchangia sio join the chain kupokea report ya kilichopatikana pia

Haya hadi sasa mumekusanya shilingi ngapi?
 
kwa masaa mawili tu kuanzia saa 10 hadi 12 jana kwa saa za Tanzania ilipatikana bil 15 za madafu
 
Ok asante kwa taarifa.Chadema mumesikia chama tayari kina bilioni 15
Kazi kwenye kusimamia matumizi ya hizo bilioni 15

Kukusanya ni kitu kimoja na matumizi ni kitu kingine.Tajiri Sabodo alitoa mabilioni kujenga chuo cha siasa cha Chadema Zikaliwa zote hata kiwanja hakikununuliwa cha chuo au cha ofisi ya makao makuu

Mwenyekiti Chadema njombe nakala kwako mna bilioni 15 tayari

Simamieni vizuri hizo bilioni 15 mlizokusanya ndani ya masaa mawili.
 
mpaka sasa zaweza kufika 500
 
Join the Chain ni mkusanyiko wa dunia nzima , tumepata michango kutoka hadi UKRAINE , halafu wewe kapuku wa akili unaona watu wa Tabora unaconclude , Poor you !
Chadema mko juu sana kwa michango hewa hongereni
 
Haina shida fikisheni hata matrilioni cha msingi uwazi wa kilichopatikana na uwazi wa matumizi kwa wanachama wenu

Hongereni kukusanya mipesa yote hiyo
Hivi yule bosi wa TAKUKURU aliyewahoji viongozi wa chadema kuhusu ruzuku baada ya kudanganywa na Lijuakali yuko wapi ?
 
Back
Top Bottom