Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Chadema kazi wanayoiweza ni kubwaka na kubwata tu
 
Wacha niunge VPN yangu fasta maana Hangaya alivo na gubu hakawii kuichezea twitter
 
Kama una shida ya macho kimbia haraka CCBRT
Kweli huenda nina shida ya macho, maana hiyo picha ya pili ninaiona kama chumba cha Mganga wa Jadi.
Picha ya kwanza naiona kama kusanyiko la kibanda umiza wakiangalia ligi kuu Tanzania Bara.
 
[emoji1787][emoji1787]
Hawana nyimbo hao....

Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....
Kinachoniacha hoi ni pale CCM inavyuo vingi lakini inategemea viongozi waliopikwa na MBOWE kuongoza. Tena inawanunua kwa gharama kubwa sana.
 
But join the chain ni kitu gani? CHADEMA wametangaza sana, but wakiulizwa hawajibu.
 
Kinachoniacha hoi ni pale CCM inavyuo vingi lakini inategemea viongozi waliopikwa na MBOWE kuongoza. Tena inawanunua kwa gharama kubwa sana.
Hili ni kosa la kiufundi kwa CCM. Uwawie radhi wameshaanza kulirekebisha.
 
Hongereni
 
Tuko tayari kujoin the Chain of Freedom
 
Nyie mliopanga maghorofani uchaguzi bila polisi huwa mnashinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…