Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

[emoji1787][emoji1787]
Hawana nyimbo hao....

Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....
Habari yako ndugu
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729


Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .

YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD


Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .

Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Uko wapi mtikisiko wa nchi?
 
Back
Top Bottom