Mavi matupu..wewe umeandika kirumi hiki au kimasai?
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThought
huo mwandiko wako kuna mtu hapa unafanana nae simuoni siku hzi haki ya mama tena
Duniani tuna watu wa aina tatu, kwanza ni wale wanaofikiri cha kuongea kabla hawajaongea. Pili kuna wale wanaofikiria cha kuongea huku wanaongea, na tatu ndio wale wanao-ongea kwanza kisha ndio huja kufikiria ni nini walichokiongea. Ni vema ukachagua kwa usahihi, unapaswa kuwa kwenye kundi lipi kati ya haya?
Vilevile, ni muhimu kujua unayetaka kuingia naye kwenye maisha yako faragha (hata mapenzi) yuko kwenye kundi lipi kati ya haya matatu, kabla hujafanya maamuzi. Mtu anaweza kuwa na kinywa kikubwa lakini akawa haongei sana siri zake za sasa na zilizopita. Kwa kawaida, mdomo hudhibitiwa na ubongo.
Ova
Mwanaume Rijali hawezi ongea ----- kama huo , kweli Dimond unamguu wa mtoto lakini Risasi mpaka zikabustiwe ! acha kutafuta excuse !
Kuwa mzalendo ongea lugha yako kingereza waachie wenye lugha yao
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
Lakini ki ukweli Diamond hana akili hata kama mmeachana ndiyo utoe siri kuwa alitoa mimba?
Jokate amepiga dill 8.2 billion atafute mwanaume mwenye upeo aturie siyo kuonjwa onjwa hivyo
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.
Nilimshangaa hata Nassib alisema Penny alitoa mimba zake mbili! Hizi si kesi kabisa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Ama kweli omba Mungu akupe akili kwanza, kisha mambo mengine yafuate.
Ova
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.
When t comes to fame
Girls never HV time to think
Duuh..hatareee..ongea tu kisw. Kiswangli kiache tu ndugu
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
Naomba uniambie hyo line ya kwanza umelewa nn maana nahisi mi thijui kidhungu thatha
Alivyosemwa sana ndio akadai ile post ya kwanza hakuandika yeye ila rafiki yake ndio aliyeandika kwani hawezi kuandika kitu wakati yeye mwenyewe hawezi kuelewa
Co fame tu, mwanamke yeyote akisha shoboka ndo imetoka, labda ucwe mjanja na hata cku akiamua kufikiri ujue amesha gongwa. So co fame tu hata km pesa ndo inamchanganya atavua chupi fasta ili umcheki km anafaa, ukisha mgonga af akaona huna time nae ndo anaanza kufikiria. Hao ndo madem wa cku hz, ukiona anakufikiria kwanza bac ujue huna vitu vya kumfaa yeye lkn wenye navyo huwa wanagonga kwaza af demu akajifikirie.