Jokate: Diamond hana akili timamu

Jokate: Diamond hana akili timamu

What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

A language similar to english..... si ungeandika kiswahili tu!!
 
Pdidy,Shyland na Yohana Mazengo wanajiamini kwa kila wanachokiandika. Ajabu ni kwamba wanakushangaa wewe unayewakosoa,yani kwamba wewe ndiye hujui.
 
Duniani tuna watu wa aina tatu, kwanza ni wale wanaofikiri cha kuongea kabla hawajaongea. Pili kuna wale wanaofikiria cha kuongea huku wanaongea, na tatu ndio wale wanao-ongea kwanza kisha ndio huja kufikiria ni nini walichokiongea. Ni vema ukachagua kwa usahihi, unapaswa kuwa kwenye kundi lipi kati ya haya?
Vilevile, ni muhimu kujua unayetaka kuingia naye kwenye maisha yako faragha (hata mapenzi) yuko kwenye kundi lipi kati ya haya matatu, kabla hujafanya maamuzi. Mtu anaweza kuwa na kinywa kikubwa lakini akawa haongei sana siri zake za sasa na zilizopita. Kwa kawaida, mdomo hudhibitiwa na ubongo.
Ova

When t comes to fame
Girls never HV time to think
 
Mwanaume Rijali hawezi ongea ----- kama huo , kweli Dimond unamguu wa mtoto lakini Risasi mpaka zikabustiwe ! acha kutafuta excuse !

Mmmh umejuaje kama ana mguu Wa mtoto?
Plus kubustiwa tena?kashabutua nn?
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

:sly::what:🙄😎:banghead: Hiki ni ki2 gani wajameni???
 
Lakini ki ukweli Diamond hana akili hata kama mmeachana ndiyo utoe siri kuwa alitoa mimba?
Jokate amepiga dill 8.2 billion atafute mwanaume mwenye upeo aturie siyo kuonjwa onjwa hivyo

Yeye napenda ss kuonjwa onjwa, we unamshauri atulie wakati yy anaonja radha ya dushes tofauti tofauti. Yani yule dada taa za kijani zinawaka mda wote, bora wamuekee trafki tu.
 
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.

Wewe na huyo dogo hamna kitu..mnaandka lugha mnazoelewa nyie wawili si wasomaji..au kilugha mkuu na ni lazima uchangie kwa lugha ya jahazi mkuu??
 
Nilimshangaa hata Nassib alisema Penny alitoa mimba zake mbili! Hizi si kesi kabisa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Ama kweli omba Mungu akupe akili kwanza, kisha mambo mengine yafuate.
Ova

Tatizo la Diamondi ni shule, std7 unategemea atazungu nn na media, nchi za wenzetu wasanii wakubwa wamefka angalau high school. Anashindwa kupima mambo, na hayo ni makosa ys jinai lkn yy anafaham unafkiri! Kipaji ni kikubwa na uwelewa wa mambo no mdogo.
 
When t comes to fame
Girls never HV time to think

Co fame tu, mwanamke yeyote akisha shoboka ndo imetoka, labda ucwe mjanja na hata cku akiamua kufikiri ujue amesha gongwa. So co fame tu hata km pesa ndo inamchanganya atavua chupi fasta ili umcheki km anafaa, ukisha mgonga af akaona huna time nae ndo anaanza kufikiria. Hao ndo madem wa cku hz, ukiona anakufikiria kwanza bac ujue huna vitu vya kumfaa yeye lkn wenye navyo huwa wanagonga kwaza af demu akajifikirie.
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

We ndo diamond?
 
Naomba uniambie hyo line ya kwanza umelewa nn maana nahisi mi thijui kidhungu thatha

Alivyosemwa sana ndio akadai ile post ya kwanza hakuandika yeye ila rafiki yake ndio aliyeandika kwani hawezi kuandika kitu wakati yeye mwenyewe hawezi kuelewa
 
Alivyosemwa sana ndio akadai ile post ya kwanza hakuandika yeye ila rafiki yake ndio aliyeandika kwani hawezi kuandika kitu wakati yeye mwenyewe hawezi kuelewa

1st it doesn't make sense y umpe MTU Simu au account yako atumie ts private thing plus this is jf I guarantee hautamani hata rafiki yako ajue username yako so the guy is fu.cking lying
2nd read the 1st line fresh mpenz ni madudu yaleyale
 
Co fame tu, mwanamke yeyote akisha shoboka ndo imetoka, labda ucwe mjanja na hata cku akiamua kufikiri ujue amesha gongwa. So co fame tu hata km pesa ndo inamchanganya atavua chupi fasta ili umcheki km anafaa, ukisha mgonga af akaona huna time nae ndo anaanza kufikiria. Hao ndo madem wa cku hz, ukiona anakufikiria kwanza bac ujue huna vitu vya kumfaa yeye lkn wenye navyo huwa wanagonga kwaza af demu akajifikirie.

Do not underestimate the power of fame ndugu yangu
Just ask yourself hao wakina jokate wema si wanamapedeshee wanawapa madolali?sa kwann bado wanavivulia chupi vijingajinga kama ndomo?ts all about fame dude
 
ye ndio hana timamu....hiv unawezaje kumpa kitu yako mtu asie na timamu?....acha awaanike km walikua wanachengesha
 
Back
Top Bottom