Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Anajua, halafu ana zile za kupenya bila kuogopa kama alivyokuwa anacheza Allen Iverson, noma sana.
Ja Morant mshenzi sana huyu dogo. Kuna mechi na lakers alifanya steal wakati anadrib mpira akajifanya anampasia refa mdada, defence ya lakers ikapeleka macho kwa refa dogo akapiga easy layup.
 
Ja Morant mshenzi sana huyu dogo. Kuna mechi na lakers alifanya steal wakati anadrib mpira akajifanya anampasia refa mdada, defence ya lakers ikapeleka macho kwa refa dogo akapiga easy layup.

Kuna siku alitaka ku-dunk kwa kumruka Kevin Love.

Dogo ni shida sana yule
 
Yuko wapi now?

Kuna kipindi alicheza Japan ligi daraja la pili, baadae karudi US.

Recently kuna mashindano ya siku 11 yanaitwa The Basketball Tournament, ndiyo alikuwa amepata timu ya kucheza kwenye hayo mashindano, bahati mbaya kuna mchezaji amekuwa tested +ve Covid 19, hivyo timu haijashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…