Jokate: Mimi sio malaya


Sasa sina shaka tena na uwezo wa watanzania, huyu kasema marafiki zake wapo nje ya nchi. Hajasema ulaya kumbuka hata walio hapo jirani kenya, uganda, na msumbiji na nje ya nchi.
Someni tena msije sema mimi nilisaini tu kama viongozi wenu wa inji!
 
mmh watz tunapnda judge bla hta kujiangalia na cc tupoje,
kashasema c malaya unachobisha nn?
ww hubadilishi patners kama ukiona hawafai?
kwann naye asibadlishe kma anaona they are not ryt for her????
hya uo umalaya tunasema ameshadate na wangap mnaowajua ambao si kawaida kiasi kumwita malaya??????
lets us b VE+ saa zngne duh
 
Dada yangu Jokate....SHOW, DONT TELL.
 
Jaman huyo wa kishua socialization kwa yeyote ni kawaida kwake
 
Asingekuwa malaya angejazwa mimba na domo? Asingekuwa malaya si angeacha mimba ya domo azae...mxxxxxx atulie ameze mbaazi kuvuta muda wa kuishi
 
KWANI ANGEKUWA MALAYA ANGESEMA MIMI MAlaya? ,sisi sio wajinga kama yeye...aolewe kama sio malaya...
 
Ngoja na mimi nijongee kando yake naweza nikapitiwa na huruma na ukarimu wake....naweza na mimi nikaweka historia ya kuogeleamo humo dimbwini hata kama ladha hamna potelea mbali....
 
Jokate toka atoke na diamond kapoteza mwelekeo kabisa mbayaaaaaaaaa hiv hakuna wa kukwambia apunguze speed maana anakuja faster
 
Kweli mama huruma we sio malaya.Sasa ulitaka awe na ubest na Halima Kimwana?
 
AAaah aah, ila alivyotoka na hasheem thabeet nilimvulia kofia, jamaa n pande la mtu

Ahhhhha me namuonaga insta jojo nguo zake za ajabu et muimba kwaya havikuji kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…