Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Uliwahi mchumbia akakugomea? Au mnaishi naye nyumba moja? Vitu vyakushangaza hivi mtu sio ndugu yako unapata wapi ujasiri wakumjadili mtu? Waliomteua wamewajulisha kuwa kafanya kosa, msimuhukumu mtu, mwacheni apate mtoto!
Maadili ya utumishi wa umma unayafahamu?
 
kwahiyo ulitaka akifunga ndoa akuite uje ushuhudie.Mind ur business mzee.
 
Nimejikuta nacheka mwemyewe Bar.. hivi unaakili timamu mkuu?!!

Ulitaka hiyo mimba upewe wewe au?
 
Nakubaliana na ww, lakini yeye kwa nafasi ya Utumishi anayoitumikia anatakiwa kuwa mfano kwa wananchi wake, mkuu wa wilaya anaishi kama bachelor, haileti picha nzuri kabisa.
Kuna sehemu katika sheria ya nchi au ya uongozi inamtaka Mkuu wa Wilaya au Mkoa kuwa na ndoa? Au kwa ngazi ya Urais tu
 
Acheni maswala ya kijinga kijinga bhn sasa kama vijana ws kuoa hakuna hata ea kutia mimba akose? Mwacheni nae aitwe mama haya kama single maza fresh tu.
 
Mwanamke akizaq bila ndoa anajesabika kuwa ni muhuni katika jamii yetu. Ina maanisha anaweza kwenda na mtu yeyote hata mume wa mtu. Sasa haya mambo gani kwa kiongozi ambaye anatakiwa kusimamia maadili
Mna uhakika gani hajaolewa?
Ndoa zote zina matarumbeta?

Kama kafunga kwa DC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…