Huko Tz mawazo ya siasa za 'ujamaa' ya kupenda kuhodhi ,hata maisha binafsi ni shida aiseeeee..... mwacheni binti wa watu.Maisha yake binafsi ana haki nayo..
Mwacheni aishi atakavyo.
Basi kwa mantiki hiyo,mwenye shida ni huyo aliyemteua huku akijua ni bachelorNakubaliana na ww, lakini yeye kwa nafasi ya Utumishi anayoitumikia anatakiwa kuwa mfano kwa wananchi wake, mkuu wa wilaya anaishi kama bachelor, haileti picha nzuri kabisa.
Sina shida na hiyo Mimba yake, ila kwa ninavyomjua Disii sidhani hata kama aliyembambika hiyo Mimba anamjua.Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume ao ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kuzani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume ao ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kuzani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
suala na ndoa ni jambo binafsi kisiwe kigezo cha mtu kupewa ugali.Kwa maadili ya mtumishi wa umma especially kiongozi mwandamizi hakutakiwa kuwa kazini. Maana amevunja miiko ya uongozi wa uma. Na hakutakiwa kupewa wadhifa bila kuwa na cheti cha ndoa.
Ila kwasababu tumeamua kuishi kung'ombe ng'ombe wacha iwe hivi ilivyo, tutakuja kujifunza kwa gharama maana maneno ya hekima au busara huwa hatuyaelewi hata kidogo.
Hao wote jeuri ndo maan wanazlishwa bila ya ndoa Nan aoe nijimwanamke linajifanya lijuaji kwa elimu ya kujua kingereza na maneno mengiJokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi ameiga tabia mbaya ya Mama Getrude Mongela na Mama Anna Makinda.
Kama kafanya IVFSiyo bure jamiiforums imeingiliwa... Kiongozi wetu kuwa mzizi siyo faragha. Ingekuwa faragha hiyo mimba isingeonekana pia. Tukubariane huo ni uzinzi na uhuni FULL STOP
Huyo demu kwa wanaomjua hawawezi kumuoa skendo kibao tangu kitambo nan aweke ndani ujuaji mwingi mno hapo vunjabei kapiga na hawezi kumuoaMiongozo ya UTUMISHI wa uma iko wazi kuwa na maadili sio mgomvi sio mzinzi sio mlevi etc. Jokate hana ndoa na hajasajili ndoa. So ni mzinzi akiwa ndani ya UTUMISHI wa uma na amekiuka kiapo cha maadili.
Kwa heshima tuu aondoke mwenyewe vinginevyo anaendelea kuchafua image. Ukiwa kiongozi wa uma huna maisha binafsi. Ukitaka kuzaa zaa hovyo kuzinizini basi usikubali uongozi wa uma mkubwa kama DC, RC.
Bahati mbaya ushahidi wa uzinzi unaonekana zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume. Amekamatwa na ngozi.
UMALAYA HAUKUBALIKI KWENYE UTUMISHI WA UMMA.
Ndoa ni hiyari.Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Siyo bure jamiiforums imeingiliwa... Kiongozi wetu kuwa mzizi siyo faragha. Ingekuwa faragha hiyo mimba isingeonekana pia. Tukubariane huo ni uzinzi na uhuni FULL STOP
Una hoja japo kuzaa ni jambo LA kheri. Tumuache azae sasa maana hatujui kachomoa vizazi vingapi.Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Kwani wewe mume wako kila mtu kamuona?Mume wa samia sijawahi kumuona.
Ana wanawake wanne. Maza anikimis sanaKwani wewe mume wako kila mtu kamuona?