Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Actualy kauli yake ni kama anatangaza uadui na wanaume wkt wanaume hao ndio wamempa nafasi ya kufika hapo. Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
 
Actualy kauli yake ni kama anatangaza uadui na wanaume wkt wanaume hao ndio wamempa nafasi ya kufika hapo. Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
hawapo vizuri kabisa, si katika leadership pekee hata katika mambo mengine, hudhani adui yao ni mwanaume wakishafanikiwa hatua fulani , huashau pia waliowafikisha hapo ni wanaume.
 
Huo ni Ubaguzi wa Kijinsia [emoji54] huyu Msichana anawazimu?!
So apewe kura kisa mwanamke. Ndo hiki walicho lilia wanaume kupewa fursa kwa sababu ya uanaume wao ( waliita mfumo dume) , je wao wanataka waje na mfumo jike[emoji1787].

Ktk zama hizi elimu sawa, fursa za ziada mnapewa kisa jinsia ya kike. Ukiona mtu kakosa nafasi jua hayupo competence.

Huku maofisini utaona wengi kazi hawajui kwa ubora unaotakiwa but walipata nafasi kwa ajili ya jinsia.

Kuwa competence tu hauto kwepeka, mwanaume akiwa boya, jizi msimpe kura, yeyote mwenye sifaa za uongozi apewe.

Wanawake wanalia lia Sana wakati mifumo ina wa favor.
 
 
Kwa kauli hii inaonyesha wanawake wa kitanzania hawako vizuri in leadership at all
Mwandishi wa Biblia na Qur'an hakua Mjinga, ushawahi ona imamu Mwanamke au Shekhe mkuu Mwanamke au Padrii Mwanamke au Paroko Mwanamke au Askofu Mwanamke? Kwanini hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…